Search results

  1. R

    Lowassa ni adui mbaya kwa CCM kuliko adui yeyote waliyewahi kupambana naye

    ,mchezo wa kumweka membe pale urilatibiwa ipasavyo bila intelijensia ya lowasa kugundua. Wao wakawa bize kumshughulikia Membe bila kujua kuwa huo ulikuwa ni mtego wa kijasusi wa kuwatoa kwenye line.So kwa kumpigia Magufuli wakidhani wanamkomoa Jakaya ikala kwao,thatz why jakaya alisema kwa...
  2. R

    Lowassa ni adui mbaya kwa CCM kuliko adui yeyote waliyewahi kupambana naye

    Uwezo wa kiakili wa wapanga mipango wa Lowassa hauko sawa. Wana-price tags kila mmoja,pia kuweka majasusi kwenye team yake ni janga kwake. How can you trust Apson Mwang'onda,Tendewa and the likes?????,hawa daily kwa muda ASIOUJUA wanatuma their reports kwa head of Special Unit within TISS 3...
  3. R

    Magesa Mulongo umewatukana Wakerewe, waombe radhi

    Hii ndo taabu ya watu wenye asili ya mkoa wa Mara. Laiti kama wangekuwa ni waelewa leo hii Mara ingekuwa juu sana kuliko mkoa wowote ule Tanzania. Lakini kiburi,dharau na majivuno vimewufikisha mkoa wao hapo ulipo leo
  4. R

    Njama za kumuua Obama

    Ulinzi atakaokuwa nao Edward ni zaidi ya ule wa Obama
  5. R

    Samwel Sitta na genge lake waanza kuwarubuni wajumbe wa BMK

    hivi kuna nini nyuma ya pazia?????,hapa mwenye matatizo sio Sitta bali Jakaya mwenyewe. hivi kisheria haya si matumizi mabaya ya madaraka na fedha za umma????,why JK asije shitakiwa kwa kuisababishia hasara serikali ilhali anao uwezo wa kuepusha hili?????? Kwa maoni yangu tatizo liko kwa JK...
  6. R

    Ridhiwani wa CCM na Tongerey wa CHADEMA wachukua fomu

    Ridhiwan atashinda kwa kishindo.
  7. R

    Rwandan intelligence assassins mission was to kill the entire family

    Hiyo achezee tu SA akijaribu Tz atashangaa. Wakati Mboma akiwa CDF,Kagame alikuwa akiuua raia wake huko na kuwatupa mto Rusumo maiti zikawa zinakuja Tz,Mboma alimpigia simu Kagame na kumpa masaa 24 akamwambia akiona maiti from Rwanda kuja Tanzania via mto Rusumo basi yeye hatasubiri amri ya...
  8. R

    Nani mbabe hapa

    suala la katiba halikuwa kwenye ilani ya chama. suala la katiba ni ILANI,linapaswa kuwa na muda wake na maandalizi yake hasa kipindi cha uchaguzi. nani katuweka hapa????,nani katufikisha hapa???,nani awajibike hapa????,nani awajibishwe hapa??? inaniuma sana,kwani mwisho wake nchi inaeenda...
  9. R

    Nape Moses Nnauye afunga ndoa

    Huyo dada ana pacha wake anaitwa Robhi,huyu anaitwa Bhoke. Nilikuwa nikiwaona sana pale Mwanza Hotel kwa mzee CMG (Christopher Mwita Gachuma)
  10. R

    Nape Moses Nnauye afunga ndoa

    Anthony Mtaka,Dc wa Mvomero hajaoa mpaka leo. Hii kwa kweli si nzuri sana kwa mtu anaeongoza kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya.
  11. R

    Nape Moses Nnauye afunga ndoa

    Huyo ni binti wa Kikurya,babake ni marehemu mzee Mkami wa pale Tarime juu bomani. Mambo yaligubikwa na usiri mkubwa sana,I think Nape alikwishaoa kabla
  12. R

    Ni Kweli Kagame Anaumwa "Bipolar Disorder"?

    Kagame ni mtu mzuri sana kwa nchi yake,ni mzalendo wa kweli kwa Rwanda,mtake msitake
  13. R

    Waasi M23 na Benard Membe wampigana mikwara mizito kupitia twitter

    Kagame anafaidika sana na mali za DRC,uchumi wote wa Rwanda unategemea madini wanayopora huko DRC na bila hivi vita kuendelea huko rwanda si chochote kiuchumi,hawa wote m23 Kagame anawajua vizuri na ndie anawapa jeuri yote. Lakini pia ni vyema usalama wa taifa na ule wa jeshi wakafanya kazi yao...
  14. R

    TIGO msitufanye washenzi bana aaah !! ona hii juu ya Blackberry.

    Kaka wengine tunatumia nokia ndogo ya tochi na huduma ni mwelele mwelele
  15. R

    Zitto asafishiwa njia mbio za urais 2015 na wabunge vijana akiwemo Nasaari na Filikunjombe

    MIZENGWE ndani ya CDM ni zaidi hata ya JKN enzi zake ndani ya CCM,but for sure ZZK ni saafi kabisa na ndo chaguo letu. Ameonyesha uwezo mkubwa kabisa hata kabla ya Slaa,ameibeba CDM kuliko yeyote yule but kwa vile MIZENGWE ni mingi ndani ya CDM itaweza kuwagharimu na hakika itakuwa hivyo. Wao...
  16. R

    Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

    MMmmmmh,jamani JK,je wewe kweli ni Rais wanchi hii au?,why huionei huruma?,kumbuka una watoto ambao utawaacha ndani ya nchi hii je hiyo aibu wataificha wapi?,nakupenda sana Jk na tafadhali itendee nchi yako haki inayostahili kwa mujibu wa mamlaka uliyonayo,ninaelewa kwa mzaramo kwake kusutwa au...
  17. R

    Prof. Baregu aeleza kwanini hakutumia Biblia kuapa

    Huyu hana lolote,ni unafiki ule ule ndani ya mfumo ule ule
Back
Top Bottom