Search results

  1. denyol

    Suala la Chakula Muhimbili lisifanyiwe Siasa

    utaratibu ni mzuri, hasa ukipata usimamizi na utekelezaji unaoeleweka. usimamizi!
  2. denyol

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    sijui kwa nn moderators wanakuacha mtu kama ww, unaandika utumbo hadi mtu anaamua kukujibu, hivi kichwa yako inafikiria nn? kwa kweli akili yako ni matope kabisa, huna tija...
  3. denyol

    Kwa hali hii Chalinze wanaihitaji CHADEMA, CCM walipaswa kuona aibu

    kaka wananchi bado hawajaelewa nini chanzo cha matatizo yao, bado wana imani na chama cha ccm ambao nao wanatumia imani hiyo kuwatenda wananchi vibaya, CDM na vyama vingine pinzani kazi yao ni kuwaelimisha wananchi kadri wananavyoweza na kuwaeleza madhara ya ccm, kdg kdg wananchi watawaelewa na...
  4. denyol

    Kwa hali hii Chalinze wanaihitaji CHADEMA, CCM walipaswa kuona aibu

    kwa chalinze sio rahisi kwa wapinzani kuchukua jimbo hilo, hata kama wananchi wanataka mabadiliko kutokana na uhalisia, kwanza ndilo jimbo ambalo anatoka mkuu wa kaya, halafu mwanae ndiye anayegombea, tusitegemee miujiza itendeke hapo hapo...
  5. denyol

    Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    wameshachelewa sana, bora wamalizie tu, mchakato mzima ulikuwa na kasoro nyingi tangu awali, na wenye akili waliliona hili na wakatahadharisha mapema, wanasiasa wakashikina mikono wakasonga mbele, leo wanageuka tena... harakati za ukombozi zitaletwa na wananchi na wala sio wanasiasa au chama cha...
  6. denyol

    RASMI USHOGA: Shinikizo kwa JK

    mods mnawaacha watu kama hawa jamani, du!
  7. denyol

    Benson Kigaila awadhalilisha wakazi wa Manzese

    hayo wasema ww, sijawahi kusikia wamepigana au la, watu wapo pamoja siku zote, hakuna ukabila isipokuwa wa kisiasa, na unaolazimishwa na nyie mnaodhani mtakaa siku zote madarakani, poor minds!
  8. denyol

    Benson Kigaila awadhalilisha wakazi wa Manzese

    ukabila wenu mnaoulazimisha hapa na kwingineko, ipo siku utawatokea puani, wenyewe wa kaskazini hawana ubaguzi na wanakula bia na kila mtu kitaani, nyie majukwaani kila siku kelele za ukabila na ukanda, Mungu anawaona!
  9. denyol

    Tumejipanga kutoa elimu ya uzalendo, kwa kutumia DVD

    mdau mfikirie na kuziweka online na wananchi walio mbali na nyumbani pia wazipate... asante
  10. denyol

    Maandamano makubwa nchi nzima

    wanasiasa hawawezi kuwasaidia wananchi ktk hili, isipokuwa wananchi wakiamua wenyewe, lkn kama wananchi wataendelea kuwashangilia wanasiasa kila wanapoawaona kwa sababu ya rushwa ya ubwabwa, tshirt, na kanga, basi maandamano hayo hakuna, na posho hii itaizinishwa, na watalipwa. Mabadiliko ya...
  11. denyol

    Tunahitaji chama kipya?

    mabadiliko hayataletwa na vyama au mtu mmoja mmoja, bali yataletwa na wananchi masikini ambao wamenyonywa kwa muda mrefu, wakiungana, na kutambua hali duni inasababishwa na chama dhalimu. Mabadiliko yanaweza kuja hata nje ya chama cha siasa. Wananchi wakiamua. itakuwa.
  12. denyol

    Kwanini CHADEMA hawakutoa HELKOPTA zao TATU kuwasaidia wananchi wa Dumila wakati wa Mafuriko?

    hii jamiiforums nayo inaendelea kupoteza dira kila ukicha, moderators sijui mnafanya nini? badala ya kuondoa nyuzi kama hizi, manaziacha makusudi kabisa. kwa nini lakni?
  13. denyol

    Ratiba ya M4C Pamoja Daima Leo Jumamosi - Jan 25, 2014

    the change is here now closer than before..
  14. denyol

    Nape kula matapishi yake leo

    hahaha, sio mchezo!
  15. denyol

    Meya wa Bukoba atangaza kujiuzulu baada ya Ripoti ya CAG kusoma leo!

    na anajiuzuru kwa dhihaka kama alivyofanya huyu... lkn pia tuliona kwa waziri mkuu anayejiita mstaafu
  16. denyol

    R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    huyo mwanzisha mada anavyosifia hilo taifa la isarel, wakati hao wayahudi wenyewe wanadharau sana rangi na mataifa mengine, hata kujichanganya nao hawataki hata kama urafiki wa kawaida tu, hawataki... Taifa la mungu la ubaguzi kwa wanadamu walioumbwa na mungu huyo huyo, kweli maajabu haya..!
Back
Top Bottom