Search results

  1. O

    Nchimbi: Kuna vyama vya Siasa vinaunga mkono hali ya Mtwara

    CDM iko nyuma ya vurugu hizi.
  2. O

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Thibitisha kauli yako tafadhali.
  3. O

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Mkuu unaweza kuthibitisha ama kuleta ushahidi kwamba Jakaya Kikwete anahusika katika kupanda na kuchochea udini?. Si hekima kusema neno bila ushahidi. Ukimya, ustaatabu na uvumilivu wa Jakaya Kikwete usitumiwe vibaya.
  4. O

    Msuya anatibiwa hospitali ghali ya kifalme Uingereza

    Viongozi wetu wanafanya haya yote makusudi kabisa kwani wanajua watanzania watasema na kuyaacha. Dawa yao tungeanza kuwatenda kitu mbaya kila wakati tupunguze maneno. Ninawangoja wafike muhimbili kwenye kitengo changu.
  5. O

    Chadema kwanini mnakuwa na kigugumizi cha kuanzisha chadematv/m4ctv??...

    Tatizo ni vibali na wala si pesa. Vibali vinatolewa na serikali na bila shaka serikali haiko tayari kutoa vibali hivyo kwa Chadema kwani moto wa chadema unajulikana. Clouds na Itv wanajua hilo ndiyo maana wanajikomba kwa serikali ya CCM wamekubali kuwa watumwa. Cha kufanya ji kuanzisha TV na...
  6. O

    Msuya anatibiwa hospitali ghali ya kifalme Uingereza

    Lipokuja suala la matibabu viongozi wetu si watanzania tena bali ni raia wa kigeni.
  7. O

    Kamati za Lowassa na Zitto zavunjwa

    Kifo cha nyani kila mti unateleza. CCM hata ifanye nini kifo kiko mlangoni.. Miaka 50 ya kujaribu imetosha na sasa kaeni pembeni.
  8. O

    Vinara mgogoro wa gesi watajwa...

    Tatizo si kwamba gasi isifike Dar. Ila tunataka kiwanda kijengwe Mtwara na gasi isafirishwe kwenda sehemu nyinhine r:
  9. O

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Waziri wa elimu ni lazima aachie ngazi. Wananchi tuingie mitaani kuwaunga mkono wabunge wetu wa vyama vya upinzani katika hili jambo.
  10. O

    Bungeni: Wabunge wapingana juu ya Hoja Binafsi ya Mhe. Mbatia, wengine wamfuata nje ya ukumbi!

    Tumejenga majengo yanayoitwa shule lakini si shule kwa maana ya shule. CCM wanalijua hilo ndiyo maana watoto wa viongozi wanasoma nje ya nchi.
  11. O

    Waziri Mkuu, Waziri wa Mambo ya Ndani na IGP waelekea Mtwara kusaka suluhu!

    Kuna habari za uhakika toka Mara kwamba wakurya nao wanataka kuandamana kupinga madini kubebwa na wageni.
  12. O

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Kwanini hawachomi moto ama kuharibu ofisi za chadema na cuf?
  13. O

    Gesi Yetu Na Alichoniambia Profesa Chachage Jana Usiku...

    Mkuu Pasco with due respect naomba kutofautiana na wewe kwenye hili suala. Watu wa Mtwara hawazuii gesi isifike Dar na sehemu nyingine za Tanzania. Wanachotaka ni kile walichokuwa wanakiomba miaka nenda miaka rudi. Wanataka kiwanda kijengwe Mtwara ili nao wapate ajira na maendeleo mengine...
  14. O

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Haya tena na nyie watu wa Mara lianzisheni madini yenu yanachuliwa na nyie mnaachiwa mashimo.
  15. O

    Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Jamani naomba kuuliza huyo bibi kizee anayetafutwa na serikali huko msambiati mtwara ana kiyu gani ama ni wanini?
  16. O

    Zitto: Serikali ya Kikwete imekosa uhalali wa kutawala!

    Imefika wakati wa kuchapa risasi wezi wa mali za umma bila hivyo tutakufa masikini.
  17. O

    Eti Ushahidi wa Usaliti wanao! "Atavuliwa vyeo vyote"... Ila Uanachama ataachiwa!

    Zitto Zuberi Kabwe has to go. Huyu kiumbe ni hatari kubwa ndani Chadema. Ni hatari kuliko Ukoma, ni lazima aende na aende sasa.
  18. O

    Wabunge waagiza CAG kukagua hesabu TANZANIA TOURIST BOARD...

    TTB kuna madudu ya kutisha.
Back
Top Bottom