Search results

  1. A

    Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

    kuna mtu ameniuliza nimtaje huyo mpenzi wangu anayeoa june,can we communicate?
  2. A

    maamuzi ya mwisho

    Sema,na mm nijumuike kuwa na furaha
  3. A

    je ni haki kula 2ndi.

    Mmh jaman msidanganyane izo mambo za ndugu ndugu sio nzuri endelea kuangaza mbona wapo wengi au unataka ba mkubwa umwite mkwe
  4. A

    Ninampenda kweli huyu mwanaume

    Pole mama,uoga uliokuwa nao hata mimi ninao sa ivi,jitahid kumuamin na jiamin sio wote wanatabia moja japokuwa huwa hawaeleweki sana
  5. A

    Huyu rafiki wa mpenzi wangu simuelewi mambo yake.

    We unampenda itakuwa,usiku unapokea simu zake,kwako anafikaje kama ujamkaribisha mwenyewe we sema ukwel bana
  6. A

    Kudeka na Kuringa

    Kuringa na kudeka ni tofauti,kuringa ni kama kujiskia hivi,me napenda kudeka hasa nikiwa mpenzi wangu lakin sio kuringa
  7. A

    Nisaidieni Jamani

    Mmh we utakuwa ujampenda huyo dada ungempenda ungefanya juu chini mpaka akawa unavyotaka,ungempeleka hata kwenye mazoezi,we ulitaman tu
  8. A

    Hivi hawa wasichana,huwa wako seriouz kweli?

    Tuko serious kabisa hii mambo sa nyingine co ya kukurupuka maana si tunajidai tunaongozwa na moyo tukipenda basi kumbe mungu ndo anatujua zaidi
  9. A

    Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

    thnx godwishes,i understand
  10. A

    Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

    asante preta,mmenifariji sana naanza kuona mwelekeo wa maisha yangu
  11. A

    Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

    bora we umesema kwel unataka wa kudanganyana tu,na iyo ya kupenda kwel ndo inayonitesa
  12. A

    Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

    jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?
  13. A

    Wezi wa tz ni kiboko.

    balaa sana
  14. A

    Mungu si athumani

    teh teh teh teh teh ihiiii,teh teh teh
  15. A

    Chumba cha mahesabu

    dhambi nyingi,nan huyo?
  16. A

    Hukumuni...................... ...

    mmh hapo mbingu imekataa
Back
Top Bottom