Mpenzi wangu anafunga ndoa June!

a gal

Member
Mar 18, 2012
17
0
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?
 
jaman nisaidien,mpenz wangu anafunga ndoa june,mwanzon aliniambia alikuwa na mtu wameachana coz hawakuwa na maelewano na walikuwa mbali mbali,nilimkubali badae akaniambia amekuja kuomba msamaha wamerudiana, nampenda huyu kaka mpaka nakondo na anaoa june,nisaidien nifanyeje?

dah....nakuelewa jinsi unafeel...
well....huna la kufanya zaidi ya kukubali ukweli na kuendelea na maisha mapya.....
 
Kubali ukweli coz it seems the guy is honest to you na anakupenda ila kamchagua yule aliyemzoea, we ukiweza mpe na mchango na uwe mwanakamati. Huwezi kujua mungu kakupangia nini maishani.
 
Inaelekea huyo kaka hakuwa na mapenzi ya dhati kwako....alikuwa na wewe kwa kupunguza msongo wa mawazo tu. Pole sana ndugu yangu,
 
Pole sana it hurts bt huna jinc zaid ya kulet him go,may be Mungu hakupanga awe mumeo and it seems alikua na wew kupunguza stress 2 hakua na real lv,jst pray God wil give u the right man
 
Me mpenzi wangu Ameolewa jana na nimejua jumatano iliyopita.., nakushauri anza kumsahau sasa maana mimi hapa ni uanaume (Ugumu) tu ndo unanipa strength ya kuandika hapa. It's painful for ril :.:crying:
 
Mshukuru Mungu kuwa amekuacha, upate wako uliyeandikiwa na Mungu! Hebu tulia umuombe Mungu, huyo angeweza kukuoa na kukutesa na nyumba ndogo hadi ushangae!
 
kila jambo lina makusudi chini yajua,badala yakulalamika we mshukuru Mungu hujui kakuepusha nanini.
 
Hyo yako mbona cha mtoto,me wangu kaolewa ijumaa ilyopita,na nimeona nkifkria sana naweza kufa kwa presha bure!we tulia zako,yupo alie andaliwa kwa ajili yako.
 
Hiyo ni Ajali kazini ....
Na wewe mrejee wako wa Zamani muambie Akuoe kabisa.. A_Girl...

Kama Akikataa Anzisha Thread Hapa Kuwa Unahitaji mume Tatizo lako litaisha na Kumsahau huyo Mpenzi wako wa Ajali
 
Back
Top Bottom