Search results

  1. O

    Hydom hali ya usalama ni tete!mfanya biashara atekwa,katoa milioni 80 nawakaondokanae

    kweli,kama sio juhudi za wananchi yule jamaa angewapa kidogodogo wale polisi namchezo ungeishia palepale.kweli umoja ni nguvu na huyo tajiri anatakiwa kujua uhai ni bora kuliko mali,na kama sio juhudi za wananchi wale angekua ashaimbiwa parapanda,heshima ni jambo la hekima na uheshimu kila mtu.
  2. O

    Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

    Upumbavu mtupu hao watu ni wakarimu sana na wachapa kazi ndio maana maendeleo wanayo sana I
  3. O

    Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Ni Mpiga tarumbeta wa magamba
  4. O

    Sakata la malipo ya korosho sehemu ya pili, Tandahimba kimenuka..!

    Chadema tuna kuja huko kuwaamsha na kuonyesha njia ya kupata haki yenu.Hawa magamba bila kuwaketea mtiti wa maandamano hawaeleweki kamwe.HAKI INAPIGANIWA HAIOMBWI
  5. O

    Mkutano mkubwa wa CHADEMA Dodoma

    Vipi kamanda lema atakuwepo??
  6. O

    Hii nchi ina waziri wa mambo ya nje kweli???

    Kama jibu ni ndio mbona raisi kila kukicha yupo safarini??au anatumia profesion yake??au waziri alie mteua ni kilaza??
  7. O

    Nafasi waziri waziri wa mambo ya ndani ikowapi kama raisi ndio kila siku yupo safari

    Inanikera sana na watanzania pia wanakereka na kuumizwa na hizi safari za kila siku za raisi.ninachojiuliza ni nini kazi ya waziri wa mambo ya nje ikiwa kilasiku raisi kiguu na njia.au ndio tafsiri ya kua amekosea kuteaua mtu stahiki anae cover hiyo position kikamilifu??ina ashiria nini kwa...
  8. O

    Jaji aliyetoa hukumu ya Lema ni nani haswa?

    Jamani mwenye uthibitisho na hili tetesi tunaomba afunguke zaidi kwani kwani kila unaeongea nae anakwambia ndio ni kweli,sasa mwenye uhakika na detail za kutosha tunaomba amwage hapa jamvini.
  9. O

    Riz one mwanasheria wa tanzanite one.

    Inakuaje kila kile kizuri kiwe cha familia yao??hii nchi kweli inaelekea kubaya,mtu anaeishabikia sisiemu kweli alaaniwe kwani atakua hajui anfanyanini hapa duniani,
  10. O

    Najivunia kutoka jimbo linaloongozwa na mbunge wa upinzani

    Mwanza hapa,tuna piga kotekote mpaka ukerewe
  11. O

    Mustafa Sabodo ni nani?

    Ni mfanya biashara halali anaelipa kodi ndio maana anafanya vitu bila kificho wala woga.angekua na doa ungeona tayari magamba wameshaanza kumfuatilia na kumzushia kua halipi kodi.angalia mzee ndesa pesa anavyo wachana live kua anapesa,hajifichi anasimama live na kusema niiteni ndesa...
  12. O

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    maji marefu ndie anae stahili???uongozi sio elimu wewe mse...nge.huyo jakayaa mbona udokta wake mweupe tu.
  13. O

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    Sidhani kama kuna uhuru wa mahakama kwa stahili hii.hasira waliokua nayo watu wa arusha hakika watu watapiga kura ya hasira kwa maana yakua hata alikua mbali atafunga safari kuja kupiga kura.hukumu iliyopita hakika ni hukumu ya ccm sio mahakama.arusha daima ni ya chadema
  14. O

    Kwanini chadema ninawakubali kwa%100?

    We c wakukameruni au unazan a2jui.
Back
Top Bottom