Search results

  1. M

    Kero kifusi barabara ya Bunyokwa

    Ni wiki ya Pili sasa hadi Leo Tarehe 13/02/2021 vifusi vilivyowekwa katika barabara ya Bonyokwa ya Segerea kuelekea Bonyokwa kwa Kichwa havijasawazishwa. Hii imekuwa kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hii kwani inasababisha usumbufu mkubwa wa magari kupishana na inaweza kusababisha ajali hasa...
  2. M

    MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Na misasi pia alikuwa na biashara Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Huenda ndiye aliyeleta Idea ya kuji Balali Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    MANENGERO: Mwislam aliyezikwa kwa jeneza, Tajili tapeli na jambazi la kisukuma lililopata mali za dhuluma

    Inasemekana alikuwa na kesi mbaya na ili aimalize aka act kufa na hata hakuagwa kwa Mara ya mwisho. Na ndo maana alitumia jeneza ili watu wasipate nafasi ya kuleta umbeya. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Naomba tafsiri ya kisheria kuhusu mtumishi wa umma

    Sheria ya utumishi Wa umma imeelekeza kwamba haiwahusu Jwtz,Polisi Na magereza
  6. M

    Baada ya mahojiano, Gwajima aachiwa kwa dhamana

    Katika kesi zote za jinai ikiwemo lugha ya matusi mlalamikaji ni jamhuri na pengo ni shahid tu
  7. M

    Kufungwa kwa Vituo Vidogo vya Polisi Saa 12 jioni, Nani ana jukumu la kuwalinda Raia?

    Wamefunga vituo ili wananchi muish kwa amani kwan mliwaona ni wauaji na wanawaletea kero sasa badala ya kushangilia kumbe mnawahitaji mmeanza kulialia
  8. M

    Askari polisi : Yanayosemwa juu yenu ni kweli????

    Peleka watoto wako na ndugu zako wasomee upolisi hawatalalamikiwa watakuwa malaika
  9. M

    Hukumu ya uonevu yatolewa leo katika Mahakama ya Wilaya Karatu

    mimi sitoi maoni yangu kwanza mpaka nitakapoona nakala ya mwenendo na hukumu.Mleta maada tafadhali tuwekee hapa ili tutoe maoni ya kisheria vinginevyo hizo bado ni tetesi. Kwa jamiiforums ni aibu tukijadili tetesi kwa mambo ambayo yameshatokea na siyo yanatarajiwa kutokea. Huu ni ukurasa makini...
  10. M

    Askari polisi : Yanayosemwa juu yenu ni kweli????

    je kuna taasisi gani ya serikali hapa TANZANIA ukiondoa polisi inafanya kazi vizuri?
  11. M

    Gari la serikali lapinduka likiwa na meno ya Tembo Manyara Kibaoni

    ni KWELI MWANAJESHI MMOJA MBARONI NI BONGE NA AMEKUTWA NA BUNDUKI WENZAKE WA TMA MONDULI WAMEKIMBIA GARI ILIYOKAMATWA NI YA CO TMA MONDULI
  12. M

    Mbowe adaiwa kuficha ‘madudu’ Karatu

    Well said Awaki
  13. M

    Polisi 20 karatu hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili kuanzia mwezi novemer na december 2012

    polisi wa wilaya ya karatu wapatao 20 hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili mpaka leo.yaani mishahara yao ya mwezi novemba na desemba 2012 imekuwa ikipigwa danadana kwa uzembe wa wahasibu katika jeshi la polisi ngazi ya mkoa na makao makuu.je raia tutapona na rushwa tukikutana na hawa...
  14. M

    Mgogoro waitikisa CHADEMA!

    Mwenyekiti wa halmashauri karatu ndo fisadi mkubwa hata kwenye mkutano wa chadema uliopita mjini karatu alizomewa na wananchi wakimwambia shuka jukwaani fisadi mkubwa
  15. M

    Askari 12,000 wakwama kulipwa mshahara

    Serikali dhaifu jeshi dhaifu unategemea nini? eti hao ndo wanaotegemewa kulinda mali zetu wakati wao wana njaa hawajalipwa mishahara.Nasikia nawao ili fedha iingie benki lazima watoe rushwa kwa wahasibu wa makao makuu ya polisi DAR KAZI IPO NCHI HII.
  16. M

    Kashfa nzito chuo cha polisi moshi hadi kifo cha askari polisi

    SASA U GREAT THINKER WA HAPA NASHINDWA KUUELEWA WENGI MKO BIASED SANA KATIKA MICHANGO YENU ESP WHEN IT COMES TO PLOLICE.sasa mnategemea tutajenga taifa la namna gani?Hivi hata CDM wakichukua nchi je tutaishi kama mbinguni.Jifikirie leo POLISI wote wagome je ndo tutakuwa na maisha bora cha msingi...
  17. M

    Hitimisho kwenye kipimajoto itv jana usiku: Polisi wajitathmini kwanini wana vitambi?

    kuna uhusiano gani kati ya vitambi na kazi ya polisi mtu anaweza kuwa mnene na akawa mwepesi kutekeleza wajibu wake mbali na hilo hakuna sheria TANZANIA INAYOMKATAZA POLISI KUWA MNENE
  18. M

    Jeshi la polisi hapa bado..

    mbona haujaongelea malipo-salary
Back
Top Bottom