hii ki2 ni trik yakitoto sana haingii akilini kwa mb kama mnyika anayejua sheria vizur amtumie msg nchemba inayomtishia uhai wake ili hali mb mnyika anajua copy ya msg itabaki kwenye sim mwingulu, mim siwez kubaliana na triki zaifu kama hii, namshaur mwingulu arudi tena studio ajipange
mi najiulizaga sana cpat jbu kova alipataje chance yakuwa askar kwa yale macho?. Ama ile hali ilimkuta kazin?. Mi am sure kunavgezo vyam2 kua askar jana alvyokua anasoma rpot yale mambo czan kama ndo yalikua yameandika pale alikua anatoa story zake kchwan zauongo, bdo cjaona sababu zayule mkenya...
ccm walivyo wajinga badala yakutafuta ufumbuzi wa tatizo watajkita direct kua sababu ni chadema.. Just simple and clear ndo itakua solution yao hawaumizi kichwa
nivile wa2 hawajui 2 ila hamna wa2 makin na wenye msimamo kama wamasai wakisha elimishwa huwa wanaelewa mpaka mwisho, am sure kwa kumtumia ole milya 2tawavuna wamasai wakutosha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.