Search results

  1. F

    Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  2. F

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Ubarikiwe sana kaka sasa niende wilayani huko Mwanza au hata hapa Dar wanaweza kufanya hilo zoezi? Vipi kama hiyo shule ilikuwa haijasajiliwa?
  3. F

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Ni shule mpya ndogo sio shule kubwa yani ni kama.hizi day care Centers ila ilikuwa na darasa la kwanza na la pili pia. Ilikuwa na wanafunzi wachache sana...ilikuwa sahihi kwa sababu watoto walikuwa wanaenda shule.Ambacho Nina wasiwasi nacho ni kama shule haijasiliwa kwamba walikuwa wanategemea...
  4. F

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Wanasema hawatambui risiti hizo kwa sababu zimetoka kwa huyo mwalimu. Wanataka nilipe milioni moja na laki 2 ndio wamtoe mwanangu kwenye system wamuhamishie kwenye hii shule yake mpya
  5. F

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Naombeni ushauri kuhusu cha kufanya please nipo njia panda
  6. F

    Shule ya English Medium imegoma kumuhamisha mwanangu. Hatiani kukosa mtihani wa darasa la nne

    Mimi ni single mother umri wangu ni miaka 34. Kwa ufupi Nina watoto wawili wa kiume wa kwanza ana miaka tisa wa pili ana miaka saba. Huyu kwanza yupo darasa la 4 na wa pili yupo darasa la 3. Kilicho nifanya nilete ujumbe huu hapa Jamii Forums ni kitendo cha dhulma kinacho taka kufanywa na shule...
Back
Top Bottom