Search results

  1. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Wewe usiyebebwa na bahati nenda kaombe namba kikosini basi tukuone ujuaji wako makelele jf ya nini?
  2. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Kama sio mchezaji yeye ni nani? Au ni kishabiki maandazi?
  3. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Wewe ndo unapaswa uwe na hoja za msingi. By the way Samatta alistruggle mwenyewe mpaka hapo alipofikia,wewe ulimsaidia nini? Au ndo ule umbea na kutafuta kiki za kipuuzi ili uonekane unajua kuchambua soka? Kama wewe unajua mpira kuzidi Samatta kaombe namba kikosin tukuone uwezo wako. Sio...
  4. mkali kwanza

    Zitto: Serikali haijapeleka Sh1.029 trilioni zinazotakiwa kuingia kwenye akaunti maalumu ya BoT

    nadhani wewe ndiye uliyeishiwa hoja.Usipende kujidai unajua wakati hujui
  5. mkali kwanza

    Aina mpya ya wizi jijini Daslam.

    beseni la maji unaliweka usawa wa dirisha na pia mwenyewe unapaswa ujimwagie maji usoni hata wakipuliza lori zima chief hudhuriki
  6. mkali kwanza

    Aina mpya ya wizi jijini Daslam.

    Mkuu hiyo mbinu hata mim imenisaidia sana niliwagonga kama watoto
  7. mkali kwanza

    Baada ya madereva wenye vyeti fake kutimuliwa Ajali za STK, STJ, SU na DFP zimeshamiri

    Huenda paka alikuwa anafanya vimbwanga njiani humo
  8. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Roho mbaya,husda,chuki na wivu ndo vijana wengi wa Tanzania tunajua.Kwanza wakati anahangaika mwenyewe hakuna hata aliyemsaidia leo kawa maarufu basi kila mtu anajidai kumkosoa huo ndo unafiki mim siupendi.
  9. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Nyinyi ambao mna uwezo kumzidi Samatta mnaonaje mkaomba kujumuishwa kikosini tuone ufundi wenu?
  10. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    MTU anayemponda Samatta ukimwambia yeye acheze utafikiri unaangalia futuhi. Wabongo tuna tabia ya kuponda na kuwa na negative mindset. Ndo maana Mimi hata biashara ya urafiki nilishaikataa muda sana. Naona unafiki tu.
  11. mkali kwanza

    Kutekwa kwa Mo: IGP Sirro aonya wanaopingana na maelezo aliyoyatoa juu ya ulipofikia uchunguzi

    Mkuu utaenda kulisaidia jeshi,hahaha just joking man ila kiukweli haka kaishu kameleta mtafaruku kitaani dah
  12. mkali kwanza

    Navipongeza vyombo vya habari vya Magharibi kwa jinsi walivyoripoti suala la MO!

    Sema mim naamin kwa mwendo huu huu hata kina BEN,AZORY, na wengineo waliopotea wanaweza patikana. Mtazamo tu
  13. mkali kwanza

    Navipongeza vyombo vya habari vya Magharibi kwa jinsi walivyoripoti suala la MO!

    Dah nimejikuta nacheka kwa nguvu mwenyewe hadi watu wamenishangaa aisee jf sijaingia siku nyingi sana stress hapa zimeisha.
  14. mkali kwanza

    Mbwana Samatta uwezo wake wa kawaida Mno, Anabebwa na bahati tu!

    Wabongo ni jadi yetu kupondana mkuu wala usishangae.NEGATIVE minded always
  15. mkali kwanza

    Faida 7 za kulala uchi

    Hahahahaha huu uzi uko very interesting
  16. mkali kwanza

    Mkutano kati Donald Trump na Kim Jong Un Dunia Kitu Gani

    North Koreans are indeed intelligent people. Sina hakika kama itakuwa rahisi kama baadhi yetu tunavyofikiri.
Back
Top Bottom