Search results

  1. F

    Urais CHADEMA it's like a death sentence!

    Uroho wa madaraka na kukariri kuwa rais lazima awe fulani ndo' kunaondoa Demokrasia! CDM tumekuwa tunapambana ili wananchi wawe na demokrasia ya kweli, ya nin kupiga kelele kwa sababu tu ni shibuda? Kwani yeye hana haki kikatiba kugombea? Tuache Demokrasia ifanyekazi cyo kubwabwaja kama Heche...
  2. F

    Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

    Dah kautafiti kako kakovery biased actually umekutana na watu wachache wa type hyo! Kunamsemo mmoja wakisukuma unasema hivi " mashimbe mawa, tukukamila lingi" hapa mwanaume wakisukuma ukimletea pozi anaachana na wew kwan wanawake anawachukulia kama mbwa ukiondoka anaenda kwa jirani anachukua...
  3. F

    Maelfu Wampokea Sugu, Wamwita Mfalme

    Nyumbani kwao milembe nn huyo Radhia?
  4. F

    Sitta ni Mwongo na Mnafiki, Jiuzulu mara moja

    Hata wakisema amedhurika na sumu hamna msaada wowote! Mmekalia majungu tu, si bora aseme siyo sumu inayomdhuru ili kuondoa mjadala huu! Huwezi kumuita sitta mnafiki wakati yeye alizungumza alichoambiwa na mgonjwa mwenyewe! Na kama upo hapa kwa ajili mtu fulani umechemka.
  5. F

    Serikali imjibu Lowassa, jinsi Richmond & Dowans zimezuia maelfu ya ajira serikalini

    Kijana kama hujafanya utafiti na kuja na vidhibiti acha kubwabwaja kama mwendawazimu, humpendi Lowassa ni wew na huyo aliyekutuma, usilazimishe watanzania wote wamchukie! Hayo mabilioni unayoyasema muulize kikwete kwa nn hajamfunga Lowassa kama aliiba?
  6. F

    Muda wa mapacha watatu umewadia...

    Siasa uchwara hzo!
  7. F

    Lowassa kuanza kampeni wiki ijayo

    Mmh kwan EL kamwibia nan?
  8. F

    Kila mkutano wa Kikwete anakalia kiti kile kile, Je anasafiri nacho?

    Kile ndo' kiti cha nyadhifa aliyonayo! Uliza swali jingne.
  9. F

    Dkt. Mwakyembe: Nimekerwa sana na msimamo wa Jeshi la Polisi juu ya afya yangu

    MUNGU akuponye MWANAHARAKATI na MZALENDO wa Taifa letu! Kumbuka kuwa MUNGU Mwenyewe ndo' atakuponya na hao MAFISADI watafyata na kuumbuka hapa hapa dunia! Tunakuombea mheshimiwa.
  10. F

    Hivi ni kweli serikali ya CCM imepoteza mwelekeo?

    Ndugu wanaJF, kila nikitafakari nashindwa kuelewa serikali ya CCM iliyopo madarakani inatupeleka uelekeo gani? Magharibi, kaskazini, kusini au Mashariki? Au ni kama gari lililomshinda dereva na kupoteza uelekeo? Na kama limepoteza uelekeo muda wowote tunaweza ingia shimoni. Mimi sielew...
  11. F

    Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour"

    Rais wetu anapenda ngonjera, methali na vijembe! Hii sifa inayowafanya watu wampende hata kama nikatka hali ya chukizo! Mfano mzuri kipindi kile amewaambia wafanyakazi wawe kama Mbayuwayu.
  12. F

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    Ujinga cyo tusi bali kukosa maarifa ya kitu fulani, na kukosa adabu cyo tusi pia bali ni kukosa busara ktk jambo fulani! Mimi nawashangaa wanaJF Mnavyobadili mana halisi ya maneno yaliyotumika!
  13. F

    Madai ya Prof Lipumba kuwa alikuwa UN akishauri Uchumi ni changa la macho?

    Duh kwanza nimefurahi kuwa ndani ya Jamii hii. Kusema kweli Lipumba jembe na inapaswa tumpe big up bila kuingiza itikadi za kisiasa! Na uwezo wake wakitaaluma hauna mahusiano sn na chama anachokiongoza! Wasifu wake unajulikana Duniani kote ktk suala la taaluma ya uchumi.
Back
Top Bottom