Hivi ni kweli serikali ya CCM imepoteza mwelekeo?

FireMan

Member
Mar 11, 2012
15
2
Ndugu wanaJF, kila nikitafakari nashindwa kuelewa serikali ya CCM iliyopo madarakani inatupeleka uelekeo gani?
Magharibi, kaskazini, kusini au Mashariki? Au ni kama gari lililomshinda dereva na kupoteza uelekeo? Na kama limepoteza uelekeo muda wowote tunaweza ingia shimoni.
Mimi sielew wanatupeleka wapi hvyo nawasilisha kwenu wanaJF tutoe maoni kuhusu mwelekeo huu.
Asanteni.
 
We are on good track son, read IMF and World Bank reports regarding Tanzania.

Wewe mbona unauliza majibu! CCM ilishapoteza mwelekeo siku nyingi! na Mh. Kolimba alilisema hili siku nyingi.
 
Back
Top Bottom