Search results

  1. M

    Unakumbuka mikwara ya Umsolopagas katika safari ya Alan Quarterman?

    Hicho chenye Gagula kinaitwa Mashimo ya Mfalme Sulemani
  2. M

    Madaktari wa Meno Amana tofautisheni kati ya Kung'oa misumari mabatini na meno midomoni mwetu

    Huna uwezo wa kuwaharibia kazi madaktari. Unataka wakung'oe jino huku wanakuchekea ili iweje? Hukawi kudai wamekuambukiza TB kwa vile waliacha mdomo wazi wakati wanakuhudumia
  3. M

    Ujumbe wa Mengi katika Twitter, kejeli kwa Prof. Muhongo?

    Tofauti ni kuwa huyo Prof alifanya udanganyifu, kusoma kwa jina lisilo lake, huenda kuna mtu alidhulumiwa.
  4. M

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Ustawi wa jamii (social welfare) kamwe si sawa na maendeleo ya jamii (community development)
  5. M

    Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ni kichefuchefu!

    Tatizo ni hiyo Maendeleo ya Jamii hapo, community development, inahusika na kuinua uwezo wa wananchi,.mikopo,.kuwashawishi wabadili hali zao za kiuchumi mfano kuuza ng'ombe na kujenga nyumba bora, kuunda vikundi vya uzalishaji mali, n.k. Sasa kuipeleka afya, haileti mchanganyiko mzuri. Ikumbukwe...
  6. M

    Hansard za Bunge: CHADEMA ilipinga kuanzishwa bodi ya mikopo

    Namkumbuka Bahati Tweve na wenzake, walipinga sana bodi, wakashambuliwa na Pius Ng'wandu bungeni.
  7. M

    Hansard za Bunge: CHADEMA ilipinga kuanzishwa bodi ya mikopo

    Ukumbuke kabla ya hapo wanachuo walikuwa wanasoma bure, na hakukuwa na madaraja ya.kupewa mkopo. Leo watu wanamaliza chuo wanadaiwa na HESLB
  8. M

    Jamani Lowassa ana "nyota"

    Musa alipata kuwa muuaji pia ukumbuke
  9. M

    Madiwani 10 wa CCM na UDP wajiunga na CHADEMA

    Hawa madiwani ni wa jimbo la Chenge, sio la Cheyo
  10. M

    Dkt. Shein Aidhinishwa kuwa Rais wa Awamu ya Pili Zanzibar.

    Umechemka wewe Chakii, sema mgombea urais zanzibar, sio rais wa zanzibar!
  11. M

    Manyoni: Basi la Bunda lagongwa na treni na kuua

    Sio Isuna wewe, ni Manyoni, pale keepleft, njia panda ya Itigi.
  12. M

    Huu ni Uhaini Dhidi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa,Mangula Tunaomba Ufafanuzi

    Hiyo nafasi ya siku nyingi sana, Pancras Ndejembi wa Dodoma alikuwa nacho muda mrefu sana.
  13. M

    Kutoka Mahakama Kuu kanda ya Dar: Usikilizwaji wa uamuzi wa pingamizi la Zitto

    Andika Semper wewe, sio simper, lugha za watu hizo! Na hakuna vituko CDM, ni hoja tu.
  14. M

    Hayati Mabina kuzikwa kesho tar 19/12/13

    Hebu uache utani. Mtu aliye mheshimiwa, anaweza kuuawa kifo cha fedheha, cha kupigwa mawe?
  15. M

    Makamu wa Rais wa Chama Cha Madaktari ajiuzulu wadhifa wake na kujiunga CHADEMA

    Kwa Kabangila, haikubaliki, ila kwa Ndugulile, Kigwangala, Mwinyi, Seif, Sarungi inakubalika kuacha udaktari! Halafu unakumbuka wkt wa Mgomo Rais alisema hawezi lipa mshahara wanaotaka madaktari, na kwamba watafute Mwajiri mwingine anaeweza kuwalipa? Kwa taarifa yako, 40% ya madaktari hawatibu...
  16. M

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Labda jamaa alihisi kahusika kumbadili mawazo binti yake!
  17. M

    Ufoo Saro wa ITV ajeruhiwa kwa risasi, mamake auawa!

    Usimbilie kuhukumu. Km alikuwa mchumba/mume mtarajiwa, maanake alishakubaliwa. Subiri uchunguzi, tujue chanzo.
Back
Top Bottom