Search results

  1. T

    Wasira watake watanzania radhi

    Naomba nimjibu aliyesema kuwa Chadema ina watu na washauri wa Kisheria kama Marando, Slaa, Lisu, Bob Makani, Halima Mdee, etc, ina wachumi kama Mzee Mtei, Zitto Kabwe etc, vile vile ina watu ambao wewe uwajui ambao wako ndani ya Chadema. Ukitaka kuwajua zaidi na kama unajiona wewe ni msomi ingia...
  2. T

    Tujikumbushe Songea Boys {Box 2}

    Umenikumbusha mbali ila umesahau small mbufu unakula kama hujakutana na jiwe utakutana na snail. Zile mbufu zilizokaa muda mrefu na kuwa na wadudu. Umesahau magoti, baadhi ya maneno kama mlonda kwa maana ya mlinzi, umemsahau mwalimu wa nidhamu Mpalile. Marehemu mkuu wa shule Mwalimu Mkoba...
  3. T

    Je wajua kwamba - Serikali ya Muungano haisaidii ruzuku kwa SMS kujiendesha?

    Duuu!! hizo mbona ni mgao mkubwa!! Yaani wanataka mafuta wachukue wao, ruzuku wachue 4% na TRA wasikusanye kodi. Sasa hiyo 4% itoke wapi kama mafuta ni yao, TRA hakusanyi kodi, tunalipa mshahara majeshi ya Tanzania ambayo yanalinda Zanzibar, tunalipa wabunge wao wanaowawakilisha bunge la...
  4. T

    Emmanuel Adebayor's Transfer hic-cups!

    Kwa wale wanashangilia Debayo kuondoka hawajui mpira angalia katika 142 magoli iliyo funga Arsenal mefunga magoli 62 karibu nusu na bila kuangalia kuumia kwake ambapo angefunga magoli zaidi. Ana skill ya aina yake anaposhika mpira na pasi zake uwa siku zote zinazaa magoli, na kuna kipindi kila...
  5. T

    Ndege ya ATCL yarudi Mwanza baada ya kuruka!

    Naungana na mdau aliyewapa pongezi Marubani kwa kundua dosari na kurudisha ndege Mwanza. Ila nawashangaa wale wanaolaum maana labda walitaka aende hivyo hivyo mpaka mwisho wa safari. Jamani ndege siyo Air Msae, ukigundua kasoro mpaka engineer akubali iende Certification vinginevyo hairuki...
  6. T

    Hii haijatulia- Je wee waonaje?

    Unajua kama umehamua kuzungumza kiswahili kiwe ni kiswahili ili tujue, kuchanganya kama ulivyofanya wengine uwa wanakereeka, na hii imekuwa kama mtindo. Mtu haongei kiswahili kikanyoka, atachomeka kingereza mbaka unashindwa kujua ni lugha gani inaongelewa
  7. T

    Hii haijatulia- Je wee waonaje?

    Ona mwingine eti naye anaponda kuchanganya kingereza "Jamani wengi walioko mamtoni wanaspend most of their days na wazungu- mashuleni na makazini mainly. Sasa kweli ni lazima u practise kiingereza chako unapokutana na mbongo mwenzako? Let say kuna watalii wa kiingereza wanajua kiswahili cha...
  8. T

    Hii haijatulia- Je wee waonaje?

    Lakini hata wewe kiswaahili kinakwenda upande maana hapa umetuchanganyia siku hizi wanaita kiswaglishi ebu ona "na most of the time kwenye mazungumzo..", "tunaweza ku communicate" na "so ninapokutana na m bongo mwenzangu naona ni kama chance"
Back
Top Bottom