Search results

  1. Real polycarp

    Gesi za kampuni gani zina mzunguko mkubwa?

    Habari za muda huu ndugu zangu. Samahani nilikuwa naomba msaada wa Maoni kutoka kwenu Nina duka ila kuna biashara ya gas nilikuwa Nataka nianzishe sasa nilikuwa naomba kuuliza kuwa Kati ya gas zifuatazo gasi ipi hapo Ina mzunguko mkubwa kwenye utokaji 1. Oryx 2. Taifa/Mihan 3. O gas
  2. Real polycarp

    Msaada wa ushauri kwenye Biashara yangu

    Habari za muda huu ndugu zangu me ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 24 naomba kushare hili wazo kwenu ili kupata Maoni tofauti tofauti yanayoweza kunisaidia. Nina wazo la kufungua store niwe nauza mchele tu kutokea mikoani kwa bei ya rejareja kwa capital ndogo ambayo ninayo ambayo ni 1.5M...
Back
Top Bottom