Search results

  1. BSF fly

    Kuna madhara yoyote ya kuweka "Neutral Gear" kwenye magari Automatic?

    Kuna mtu kasema uweke N ukiwa kwenye Jam au Foleni,hii sio sahihi kwasababu gari linaweza likarudi nyuma au kwenda mbele uuka gonga gari lingine,kwasababu gari linakuwa Free kutegemeana na slope iko upande gani,kwa gari ndogo una weza ku tumia N kama upo kwenye tambalale au mteremko usio...
  2. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Sio demu aisee huyu ni mke,na ili umuache lazima uwe na ushahidi wa kujitosheleza,meseji tu hazitoshi kuthibitisha uzinzi wa mtu...
  3. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Balaza nimeonana nalo leo,kwa nature ya huu mgogoro,wameniambia nikiwaletea barua toka mahakamani,wao wana maliza na divorce maana hili liko wazi,hakuna suluhu...
  4. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Jamani vepee? Mi nisha ya anza,ushauri kutafuta sehemu utulize kichwe nimeukataa,leo nisha timba kanisani na mahakamani,kuna tararibu tu zitanichelewesha za kikanisa ila talaka inamuhusu huyu...
  5. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Namjua ni mbishi,jana yenyewe kaning'ata mkono,akileta ubidhi wa kurudishia ujue nauwa,maana chochote takitua kichani kwake...
  6. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Kweli mme ni under value sana kwa hili wanaume wenzangu... Any way ndo challenge za jf,nawasikiliza. Ila my last point,no maneno mengi.Its over nacho hitaji wenye uzoefu,talaka na process vipi,sisi wakristo nahisi ina mlolongo kidogo...
  7. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Kweli kwa last week nilikuwa nawaza sana watoto ,ila kwa niliyo shuhudia live guest leo,watoto watakuja kumtafuta Baba yao...
  8. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Uko sahihi kabisa,na stahili matusi ya aina zote. Ila kwa hili la kumkuta live guest,halina mjadala. ibaki stori,watoto watakuja mtafuta Baba yao...
  9. BSF fly

    Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

    Unajua maana ya ukimwi wewe?,alafu kama kweli wewe ni dr huwezi nishauri kitu kama hicho. Fuatilia post kuanzia mwanzo,nilikuwa tayari kusamehe,mke hakuomba radhi kwenye kikao na tulipo rudi home,akaniambia haachi kamwe,leo red handed nimemfuma guest kitandani,unataka nini tena?
  10. BSF fly

    Nimemfumania mke wangu akiwa na mwanaume guest, njia ipi itakuwa sahihi kutoa talaka kwa haraka?

    Last week nilipost tittle iliyo kuwa ina sema. Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane Hii ilitokana na kumfuma na sms za kimapenzi na wanaume wa 2 tofauti. Ukweli nilishindwa pata muafaka nae,nikaita watu wazima tena wanao tujua toka uchumba,nina ndoa nae ya miaka 8 sasa. Nilitoa yangu ya...
  11. BSF fly

    Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

    Leo kwa kutumia upelelezi wa hali ya juu,nimeanza kuwasaka saa nane mchana,hatimaye saa 2 nimewafumania guest fulani,nimempiga sana,mwanaume amekimbia sana...
  12. BSF fly

    Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

    Hatimaye yule mwanamke nimemfumania live leo guest akifanya yake na yule yule Baba niliye kuwa namhisi na sms zake. Nimefikia maamuzi ya kumuacha rasmi na kumuachia kila kitu. Taondoka na nguo zangu na vyeti vyangu vya taaluma baaas. Kweli ndoa ni msalaba,leo nimeamini... ...
  13. BSF fly

    Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana ni nini? Nimekumbuka utamu wa Mke wa Balozi

    Tulio oa tuna kazi kweli kweli.Mungu atuepushe na ukimwi...
  14. BSF fly

    Mke wangu ananifanyia vituko ili tuachane

    Hujanielewa kk,kuna mtu ali post kuwa nimfukuzie mbali,nikawa namjibu kuwa ni nguvu kumfukuzia mbali kwa sababu hapa tulipo jenga pana mchango wake,labda mimi ndo niondoke... Na ninaanza kufikiria hili la kuondoka ndio utakuwa muafaka... Maana soon tampasua mtu atakapo zidisha dharau...
Back
Top Bottom