Simu tajwa apo juu ipo sokoni
spec:
Model number: GT i9505 , Internatinal Version
Internal Memory: 16 GB
Colour: White Frost
Connectivity: 2G , 3G , 4G LTE
For More info Call/WhatsApp: +255 719799118
Imetumika kwa miezi 4 (used for 4 month). Clean condition. Ni original na Warranty...
Laptop yoyote inauwezo wa kuonesha 3D. Unatakiwa uwe na miwani ya 3D special kwa ajili ya lapyop. Nimeshaangalia movie kibao za 3D kwa mtindo huu. Izo miwani upande mmoja kioo cha blue upande mwingine rangi nyekundu. Ila uwe na KM player.
hiyo mobogenie siyo kweli..nlishaitumiaga lakini simu ikagoma kutoa root access..nikajaribu tena holllla
nikaachana nayo nkapiga njia ya uhakika ngoma ikatiki..
Haina haja ya app..kama una s4 nenda kwenye call log then click iyo namba alafu bonyeza button ya option utaona 'Add to reject list'..ukiClick apo hakupati milele.
Kublock sms zake nenda kweny messages utaiona iyo option pia.
Nlikua natumia lain ya airtel kwenye s4 na ilikua inafika hadi 4G. Ss nmeRenew lain nyngine lakin haifiki hata 3G inaishia EDGE tu. Nimejaribu kuweka laini nyingine tatu zinagoma hadi ya voda nayo inaishia EDGE. NimeReset simu bila mafanikio.Hii laini ya voda kweny cm nyngine inapanda hadi HSPA...
Ndio haina recovery..lakini kuweka ndo inashindikana..ile rom manager cjaona option ya kuInstal via sd card
NimeDownload mobileUncle..lakini nikiInstal ile recovery..cm inajiRebot then ikifika kweny logo inazima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.