Search results

  1. A

    Kikwete anastahili sifa

    Kawaida ya vipofu ni kusifia hata yasiyostahili kusifiwa! Huo ni wajibu wake, alafu umeona mahesabu ya Ikulu na ofisi ya waziri mkuu hayakuwekwa wazi; unafikiri hakuna wizi huko?
  2. A

    Lissu kama Lema?

    We English Learner, una matatizo gani? soma vizuri hiyo thread, inaonekana akili yako imeamkia kushoto!
  3. A

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Mtaona povu lao litaishia wapi! Mnakumbuka povu wakati wa ngeleja? Bado anakula kuku kwa mrija! Waacheni vichaa wa ccm waseme maneno kama walivyozoea wala msitegemee chochote hapo, maana hao wanaochangia pia wametoa ahadi lukuki kwenye majimbo yao na hakuna chochote, je wanyongwe?
  4. A

    Bungeni kwawaka moto, ripoti za kamati zaibua mjadala mkali!

    Anayatamka live bungeni kwa hasira!
  5. A

    Upotoshaji huu wa Gazeti la Jambo Leo ni mpaka lini?

    Kama ni kweli, mhariri na mwandishi wasipoitwa kujieleza basi nitasema mada imeandaliwa na Ikulu!
  6. A

    Madiwani waliotimuliwa Chadema Arusha waomba radhi, Napendekeza wasamehewe

    Mtu mwenye akili ataoanisha haya matukio na kuyaweka pamoja: Milya, Lowassa kutoa neno kesho, madiwani kuomba msamaha! Mpango wa kuhakikisha ngome ya CHDM Arusha inavunjwa kama si kubomolewa ndo huo unakaribia kupata jibu. Haya yote haiwezekani yakaja mara moja na yanaonekana kuiinua CDM, hapa...
  7. A

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    Mi nasemaje KATUMWA HUYO! Mtindo wa akina wassira, ole wenu CHDM kama hamtaliona hili zengwe mkaingia kichwa kichwa mtachanwa chanwa ovyoo! Huyu mtoto ni mwaminifu kwa EL na sasa anaanza kutumiwa ili kuihujumu CHDM. Mtakuja niambia kama atapokelewa tu kwa furaha bila kuangalia kwa undani wake
  8. A

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamefurahi Kanumba kufa?

    Mi naomba nichangie kwa kuzingatia utu kuliko jinsi wengi mnavyoonekana mnajua sheria. Mimi ni mgeni JF lakini kama vile wengi hamfikirii sana: Hivi mtu kuwa na under 18 ni kitu cha kusifia? Alafu kwa kawaida kama mtu yuko under 18 tunaamini hata uwezo wake wa kupambanua mambo ni finyu...
  9. A

    JK alimtaka Lema agombee ubunge kupitia CCM Lema akagoma

    Imekaa vizuri mkuu. Hawa watawala wetu wanalazimisha wanachokitaka kiwe hata kama ni kinyume na haki. Lakini usihofu, Mungu yupo anayaona haya na atatenda yaliyo mapenzi yake.
  10. A

    KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza

    Hatuna rais! Hiyo ya Vick Kamata inafahamika hata kwetu huku kijiji cha mubuhenge ngara, nashangaa kwa wajanja JF inaonekana kama news!
  11. A

    CCM wamsimamishe nani Arusha mjini?

    Kama mnamzungumzia Abdurahaman Kinana mnatania, huyu kaiba machine ya kufua nguo ya MT meru hospital na kuiweka kwenye dry cleaner moja hapa Arusha (FALCON)! Kauza loliondo kwa urafiki wake na mjeshi mwenzake wa uarabuni! Mengine mnajua bana mi naishia hapa
  12. A

    Kauli ya Nape Juu ya Arusha na Tafsiri Yangu

    Nape akili huna, ndo maana unaweza toa maneno ya ovyo namna hiyo! Wizi unaofanya hapa manispaa ya arusha na wakubwa kupata mafungu huzungumzii, unasema utalii ulikuwa umekwama! Mungu akusaidie urudishiwe hekima
  13. A

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Matokeo yametenguliwa, Lema si mbunge tena!
  14. A

    Diwani mteule aeleza jinsi wabunge walivyo vaminiwa

    Haujatulia wewe! Kila siku majina yanatajwa, akina mohamed na wenzake wewe uko wapi? Unajidhalilisha bure kutoa maelezo marefu kumbe hakuna chochote cha maana unachoeleza. Hata polisi kwa taarifa yako wameshakamata baadhi ya watu. Acha ujinga
  15. A

    HIVI (CCM,CHADEMA) ndi wako hivi...?

    Aliyekuwa anabisha yuko wapi sasa? Kama anapinga chadema si chama cha maendeleo aende arumeru, ahadi zimeanza kutekelezwa.
  16. A

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Jamani, huyu mtu si wa kujadili tena twaweza kuonekana wehu kama yeye!
  17. A

    Polisi ni wahuni!

    Wewe ungehitaji ushahidi wa mtu wa pili badala ya mhusika kamili? Mbunge Kiwia amethibitisha hilo waziwazi kwenye vyombo vya habari akihojiwa live, na hata mbele ya mkuu wa kituo walichopelekwa pale mwanza baada ya tukio. Alisema "Polisi walifika na kusimama pembeni na silaha za moto...
  18. A

    Polisi ni wahuni!

    Kitendo chaa polisi kusimamia kikamilifu zoezi la kujeruhi wawakilishi wa wananchi (wabunge wa Mwanza) ni nini kama si kudhihirisha uhuni wao? Hii ni sawa na kusema serikali ni wahuni maana wanayajua haya yote
  19. A

    Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

    Safari njema
  20. A

    Msikieni Bwana Benson Bana BBC Swahili

    Anaposema ccm haijagawanyika/haina mpasuko bali wabunge wake wana tofauti ana maana gani? Kwa Bana ccm ni jengo la mtaa wa rumumba au? CCM ndo hao anaowaita wabunge wenye tofauti na si matofali yaliyojenga makao makuu ya chama
Back
Top Bottom