Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Zanzibar (ZEEA) zimesaini hati ya makubaliano yenye lengo la kutafuta fursa za ajira kwa wanufaika na mikopo ya elimu ya juu ili kuwawezesha kurejesha.
Hafla ya utiaji saini makubaliano hayo imefanyika...
Wanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
Degree in kiswahili linguistics looking for any job with any salary local mwanza.. natafuta kazi kwa muda wa miaka 12
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.