Search results

  1. O

    Kuna Dalili ya Serikali Kufilisika

    Guys... Msifasiri taarifa za kitaalamu kwa mihemko. United Republic of Tanzania : United Republic of Tanzania: Fifth Review Under the Policy Support Instrument-Press Release; Staff Report
  2. O

    Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Sioni mantiki ya mapovu ya UKAWA. Kama Mbowe anajibatiza kuwa ndiyo tume ya uchaguzi kwa kuchukua jukumu la kutangaza matokeo kabla ya tume yenye mamlaka kisheria hakuna haja ya kupiga kura basi. Watanzania wataaminije kuwa anachokitangaza ndicho ama sicho. Naaamini kauli zilizotolewa leo...
  3. O

    Kijana Sande aliyekuwa na kilo 250, amefariki dunia!

    With thanks.. Lol! Em uwe unarudia kusoma post pdidy kabla hujapost
  4. O

    Search for Utouh successor begins

    Namkubali prof Assad lakini huu uzi naona km unampigia chapuo yeye zaidi. Mbona wasifu wake umeelezwa sana kwny huu uzi kuliko wengine...!!!?!?
  5. O

    Warioba: Tutarajie Katiba ya watawala

    Nimesikia kuna maoni ya watu yalitiwa kapuni na tume ya Warioba. Baadhi ndo hao wanaokwenda bungeni sasa. Sina hakika kama kanuni au sheria zinaruhusu ama la.
  6. O

    Serikali Yawarudisha Majumbani Waajiriwa Wapya Hakuna Fedha

    mh em cheki vizuri asee... Siye wengine mbona tushasahau hata kama tulilipwa, yani kabla ya eid el fitr
  7. O

    Sitta: Nafaa kuwa Rais wa Tanzania!

    Unamaanisha nini mkuu!?
  8. O

    Zawadi kwa Kikwete: Vigezo gani vinatumika?

    Huyu nae... dalili za kushindwa hoja hizo... Jibu kwa hoja, acha jazba.
  9. O

    Joka kubwa aina ya chatu lazua taharuki jijini Arusha

    Siyo kiarabu hicho. Ni lugha ya kishetani inayoeleweka kwa mashetani wenyewe na baadhi ya wachawi wanamezeshwa. Ni km inayotamkwa na watu fulani ktk maeneo yao ya ibada ambapo hudai ni roho mtakatifu... washoboro wanshibeda...na mengineyo
  10. O

    Eti 'JWTZ yawavutia kasi Boko haram!'

    Gazeti gani mkuu... Mbona nimesoma mwananchi la leo ukurasa wa 3 waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa kasema hakuna mpango huo. Nanusa harufu ya upotoshaji hapa wakuu...
  11. O

    Mwaka huu bodi ya mikopo elimu ya juu(heslb) yachelewesha pesa za kujikimu(boom) tatizo nini?

    SMMUco na JUCO ndo mazaga gani haya tena!? tulia ueleweke mkuu.
  12. O

    Kwa waliongalia taarifa ya HABARI leo,taarifa ya hii namba inayoishia 9999 ni ya kweli??

    Mi mbona kila nkiipiga siipati!? Naufananisha na ule uzushi wa mwaka jana miezi ya august hivi... Sasa umejirudia tena. TCRA nadhani mna jukumu la kuutolea ufafanuzi uzushi huu.
  13. O

    "Renew" kwa kiswahili tunasemaje?

    TUKI ENGLISH-SWAHILI DICTIONARY KAMUSI YA KIINGEREZA-KISWAHILI renew vt 1 tengeneza/fanya upya, tia
  14. O

    Foleni ya pantoni Kigamboni ni zaid ya janga

    Imekuwa ni kawaida sasa hata siye tunaorudi saa 5-6 Usiku kukuta foleni kubwa hadi ikulu. Asubuhi ukitaka kuvuka na kigari chako lazima udamke ama sivyo ugomvi na bosi kila siku. Usikute mvua imesababisha mashimo hadi baharini kama ilivyo kwa barabara zetu...
  15. O

    Ikulu Yaita Waandishi Wa Habari kuwaonesha Hati Ya Muungano

    Nna imani hawatakuelewa humu, na muda si mrefu watakuita kibaraka wa LUMUMBA...
  16. O

    Ivona Kamutu wa Star tv

    Ni mzuri sana kwnye kuhoji hasa masuala ya kisiasa na uchumi. Umakini wake namfananisha na Salim Kikeke wa BBC. Mwepesi kujifunza, alikuwa na tatizo la L na R alipokuwa anaanza kutangaza Star Tv. Kwa sasa yuko vizuri saaaaaanaaa. Naamini ni miongoni mwa watangazaji bora wa kike Tanzania...
  17. O

    Nimetapeliwa Sinza

    Tatizo ni hilo jina la mtapeliwa, usikute na hii nayo ni hekaya tu. pole mkuu, fuatilia kwa makini kila ushauri lakini chagua ushauri bora.
Back
Top Bottom