Mimi nililaImkika kuchanja kwa kuwa nilikuwa na safari nje ya Tanzania kwa hiyo sikuwa namna.
Ukweli ni kwamba hakuna madhara yoyote niliyopata au nayapata. Nina miaka takribani 15 sijawahi kwenda hospital kwa tatizo lolote la kiafya
Wewe pia unaongeza idadi ya wale wenye magonjwa ya AKILI...
Unapomchukia na kumtusi binadamu mwingine ambaye yumkini humfahamu wala hujawahi kumuona tambua kwamba unahitaji ushauri na tiba ya ugonjwa wa akili
Jioni njema
Kesho ni Simba SC dhidi ya ASEC
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.