Search results

  1. P

    Wana UDSM,UDOM na vyuo vingine vyote nchini pitia hapa

    IFM mfumo wa ugawaji wa vitambulisho ni mbovu sana. Yaan wanaboa sana. Ishu ya kugawa ID mpya kwa walioregister ni simple sana ila wao wanacomplicate hadi kero.
  2. P

    Nini shida kwa mwenye dalili hizi?

    Dalili za U.T.I hizo.
  3. P

    Tangazo la TV la Okoa Mapene - Airtel

    Kweli kabisa. Ni tangazo ambalo halijaandliwa kitaalamu.
  4. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Mkuu. Kwa hiyo unamaanisha diamond hafanyi hivyo kwa mapenzi yake bali kwa sababu ya shilingi.
  5. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Aisee. Sijamchagulia mtu kiongozi, Yes Diamond ana haki ya kumshabikia mtu yoyote. Ninachocritisize ni kwamba, kwa nature ya kazi yake inahitaji washabiki zaidi. Angeepuka kuwagawa washabiki wake kwa ishu za kisiasa. Yeye kuwa na mgombea anayempenda sio tatizo. Tatizo alivyoexpose based on the...
  6. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Fanya analysis ya comments zote.. pitia kuanzia mwanzo hadi mwisho.
  7. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Sijasema Ampende Lowasa. Nimesema kuweka wazi upande aliopo kutamgharimu katika safari yake ya kimuziki.
  8. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    My point is, asingeonesha wazi maana itamletea effect kwenye kazi zake za kimuziki. Just imagine saiv mashabiki washaanza kampeni ya kutompigia kura kwenye tunzo anazoshiriki. Na nimepitia comments za mashabiki, 90% hawakufurahishwa na kitendo hicho. Unategemea nn? Wakati kura za washabiki ndo...
  9. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Inawezekana ina maslahi kwake, lakin ni maslah ya muda mfupi na yanaweza kumuathiri baadae kimuziki..
  10. P

    Kwa hili alilolifanya Diamond, litamgharimu sana katika safari yake ya kimuziki

    Diamond platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye. Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa support hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye. Nimepitia baadhi ya comments za...
  11. P

    Mastaa wa kibongo wengi wanafiki

    Nikiangalia maisha ya mastaa wa Kibongo walivyotawaliwa na unafiki, saa zingine nabaki nacheka tu. Picha linaanza. S01E01 Wema ana bifu na Jokate kisa Diamond, S01E02 Wema ana bifu na Penny kisa Diamond, S01E03 Wema kapatana na Jokate S01E04 Wema kapatana na Penny Nina wasiwasi na kupatana...
  12. P

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    KUTOKA DODOMA 4U MOVEMENT Breaking news! 5 bora iliyopitishwa na KK Lowassa Asha Roses Magufuli Dr. Bilal Membe Mr Hemed Ally Mratibu Taifa (National Coordinator) @4u movement 4U Movement | FRIENDS OF LOWASSA INA UKWELI WOWOTE HII?
  13. P

    Natangaza 'kumdharau' January Makamba rasmi!

    Hivi wewe kiswahili umesomea wapi? Au unafikiri ni ujanja kutumia hizo "x"? hadi hapa nakuvalue kama MBULULA
  14. P

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr slaa
  15. P

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Nimetokea kuwa na mahusiano na mtoto wa kiislamu. Kiukweli nampenda sana ila tatizo ni kwamba rafiki zake waislamu wote wamemtenga na hawana time nae tena. Kiukweli hicho kitu kinamuumiza na inafika hatua analia peke yake. Nauliza. Kwa anayejua sheria za kiislamu haziruhusu mtu kuwa na mpenzi...
  16. P

    SUA kuna balaa gani? Warembo wao mbona wamefanana na kilimo?

    hahahahaaaaaaa.... ni kweli maana kuna demu mmoja alikuwa rough kweli tukiwa o level tukasema chuo kitamshape lakini ye akachagua SUA. mbona majangaaaa...
  17. P

    Kunani tena Star TV, ITV na EATV

    Sasa mkuu naomba unieleweshe hapa. Nan kati ya hawa anaishi maisha ya dhiki ANAYELIPIA KING'AMUZI KILA MWEZI au MWENYE DISHI ANAYEANGALIA FREE MUDA WOTE??
Back
Top Bottom