Search results

  1. B

    Wazo langu: Hivi haiwezekani CHADEMA ikafanya mkutano wa hadhara kwa amani?

    Ila pole uwezo wako wakufikiri ndo umefika mwisho,uwe unaingia humu kiwa fiti na sio kururopoka,au umetumwa"kajipange.
  2. B

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    nyakonje,ngar.ila na huyu bado mzigo anao maana anakesi mahakama na mwandishi wa itv
  3. B

    Gharika CCM: Viongozi na wanachama 1,005 wahamia CHADEMA Kagera

    hongera kwa hilo bando huku kwetu ngara maana naona hawa magamba hawataki kuvua
  4. B

    CHADEMA mikutano ya hadhara kila siku inakera

    wewe ndo unakere kwanza umechafua hali ya hewa nabado ama vipi jinyonge
  5. B

    Slaa amgomea JK

    slaa ndo jembe,endelea na kasi hiyohiyo
  6. B

    Yuko wapi "Yusuph Makamba"

    yuko kijijini kwao amejikita kwenye kilimo,maana hanajipya amefirithika mawazo
  7. B

    KICHWA KINAUMA JAMANI.....naomba msaada!!!! si utani hata kidogo.

    pole ndo uanaume shukulu mungu kuwa umejua mapema maana hao kipindi hiki ni wengi hasa kama hawa wanafunzi inabidi kuwa makini nao,
  8. B

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    hii nikweli kipenzi chetu kanumba kimitutoka leo,changamoto kwetu vijana ambao hatujaoa
  9. B

    Mkapa mbona hakusubiri Siyoi aapishwe kama alivyoahidi?

    yee hana jipya amechangia maisha ya watazania kuwa magumu na ccm yao wamebakiwa na matusi
  10. B

    wapenzi wa kuchat kwa sms

    una roho ngumu
  11. B

    introduction

    karibu sana
  12. B

    nisaidieni

    kuna dada ambaye nimetokea kmpenda sana anaishi bali nami kidogo,niliweza kupata namba yasimu tukawa tunawasiliana vizuri na japo mi namfahamu ye2 alikuwa hanijui nimeweza kufunga safari na kufika anapo fanyia kazi hakuweza kunikalibisha ndani kwake tofauti na kuwa mkali.huku akihoji niliko toa...
  13. B

    Mrithi wa Dr. Mponda mnamjua??

    hilo haliwezekani
  14. B

    Cheka upasuke

    hiyo ya ukweli yakwanza kwa mwaka huu
  15. B

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    natafuta mpenzi wa kuoa awe mwadilifu,mucha mungu na mukalimu
  16. B

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    yote hayo ni yaziada lamsingi ni mapenzi ya kweli kwa hao wawili
Back
Top Bottom