so hiyo phantom nayo ina features kama motion sensor ,double tap to top,smart alert ,smart stay ,tilt to zoom,pan to move icons ,na camera ina modes kama za s4 (eg eraser mode) n.k
nina galaxy pocket huwa ina tatizo la ku force close na kuandika "ONKEY 7S RESET" au saa nyingine huandika "USER FAULT NOT KERNEL PANIC UPLOAD MODE" na screen yote huwa black na kuwa na android logo
Hiyo kitu ni upo kama upo highway kuelekea kwenye destination flani na zombies wanadandia gari lako ili waliangushe sasa ww unatakiwa u get rid of them kwa kuwabamiza kwenye magari mengine njiani au kwa kutumia ammo/silaha ulizonazo na utawa shoot kwa kutumia red spots ambazo zipo pembeni ya...
sasa inamaanisha mkuu kuwa uki brick simu kuna altenative ya kuikomboa?? na hiyo fast boot ni unakuwa nayo kwenye simu au PC??vilevile uki root simu utakuwa unatumia apps 4 rooted phones au zote za unrooted na za simu iliyokuwa rooted? coz mi mwenyewe nina mpango wa ku root
samsung galaxy...
msaada kwa wakubwa wanaojua masuala ya ku root hizi android phones hususan samsung galaxy pocket ambayo ndiyo simu niliyonayo hivi sasa na naomba tujulishane kuhusu faida na hasara za ku root hizi simu na hivi inawezekana ku unroot galaxy pocket inawezekana??na kipi bora kati ya hivi ku root au...
nina samsung galaxy pocket inayo nisumbua nikiitumia baada ya nuda huwa inaniletea blank page na kuandika. "" : User
Fault Not Kernel Panic
Upload Mode""na nikihold kuwasha baada ya sekunde kama 8-10 hivi inaniandikia ONKEY 7s reset naomba msaada kwa wale wote wanaojua hii masuala ya hizi android
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.