Search results

  1. C

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    Hahahaha mtachinia hapo, poleni mtakiona chuo kichachu labd kwenu muwe mambo safi,unafikiri hela za kampeni zitarudishwa lini?HD zirudi ndo mtapata mkopo.
  2. C

    Dah! I got into everlasting pain

    pole sana its hurt kwa kwel,hd nime ifeel iyo pain duh!
  3. C

    Kibamia au dushelelee, Ukweli ni upi?

    kwa kibamia HAPAANAA. dushele hd unapoteza kumbukumbu. kwa kwel kibami hapana
  4. C

    Kutendwa kumenifanya nisijielewe

    usithubutu kumrudia dada psee naakuomba,atakuona dhaifu sana kwake. we mpotezee tenaa mblock kila mahali hana adabu mshenzi wa ngozi uyo.
  5. C

    Nimuoe yupi, anayenipenda au ninayempenda?

    wewe unavoonekan jibu unalo kbsaaa km robo tatu anaicontrol yy huon km jibu tyr unalo. maan ata ukisem utaoa uyo anaekupenda wkt moyo wako upo sehem ingine ndio mwanzo wa kuja kumsaliti dada wa watu. hebu fanya vile uonavyo maan si kwl kwmb u njiapanda
  6. C

    Ushauri: Nimemwambia nitamuoa kasema anamshirikisha MUNGU mpaka sasa hajanijibu

    vuta subira angali akilin mwako ukijua majibu y maombi c y siku moja. nawe ingia magotini
  7. C

    Hivi mtu akiwa amekuacha alafu anakutumia sms ya kukujulia hali anamaanisha nini?

    huyo achana nae kasahau nn kwako.usimjibu tenaaaaaa
  8. C

    Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    Namalizia; usimtokee boy km sio mstaarabu chunguza kwanza, ukiona unashindwa kama ewe ni mtu wa dini jaribu kumshirikisha mungu akupe kibali, ila kama ukiona hofu bado inakutawala beta uache sio mpango w mungu atakuumbua na kukutangaza wewe utajuta kusema, w.me waelewe hata w.ke wana hisia kam...
  9. C

    Wanaume wewe ndo umetongozwa na mwanamke, nini mtazamo wenu katika hili?

    w.me wengi sb ya tamaa wamekua wakikubali wakidhani ni neema bila kuchunguza aina y girl aliemtokea. binafsi imeshanikuta and i make t, boy nilimpend frm myhert, uzalendo ukanishinda nikampa la moyoni, though t was tough n ilichukua muda kunielewa almost a year nilivumilia na kuamini nipo...
  10. C

    The Power of Letting Go....

    nadhan mapenz y kwel yalikuwag enzi hizooo. siku hz n kudanganyana mby. ku let go n ngumu ila ukishindan na moyo n rahc japo kuumia iz ther. ya nn kungangania pnz usilotakwa. ukishawaz ivo lzm upate nguv mpya n ku surrender
  11. C

    Kuna umuhimu wa kuwasiliana baada ya kuachana?

    ni kukauka tu itafika mahali nae atachoka ataacha kuchokochoko.
  12. C

    Naogopa jibu nitakalopewa

    Kuna kaka nilitokea kumpenda sana ila nilishindwa kumwambia. Kadiri siku zilivyoenda nilishindwa kujizuia nilimwambia ninavompenda, alichonijibu atanipa jibu japo hajui ni lini ila atanijibu. Ila tunawasilian kama watu wa kawaida. je kijana atakua anapenda pia au ananichora?
  13. C

    Huyu ananipenda kweli au najidanganya!

    yamkini kweli huyo dada ni bikra, so km kwel una mpango wa kua nae future be patient.
  14. C

    Nampenda lakini hatambui hisia zangu

    Kuna kijana mmoja nimetokea kumpenda sana, yani upendo wa kweli kutoka moyoni mwangu, lakini siwezi kumwambia kama ambavyo si mila yetu wa Afrika kumtamkia mwanaume kuwa unampenda nifanyeje aweze kuelewa hisia zangu. Maana ni mwezi sasa nagumia maumivu sijui nifanye nini?
  15. C

    Sijui nifanye nini, naomba ushauri

    nimepost coz nimeshdwa kutatua
  16. C

    Sijui nifanye nini, naomba ushauri

    ni kweli kabisa ndio maana nikaja kutafuta ushauri
  17. C

    Sijui nifanye nini, naomba ushauri

    Nina mpenzi wangu ambaye tuna mwaka moja nae, juzi nimepigiwa simu na mdada aliyedai kua ni mpenzi wa mpenzi wangu anadai wana miaka minne kwenye mahusiano na huyo mpenzi wangu. Nilipojaribu kuongea na mpenzi wangu akaniambia na mimi ndio chaguo lake,akasema atanieleza sababu za yeye kuwa na...
  18. C

    I Need ur Help Please

    mwenyewe unaonekana unataka ushauri unaoendana na mawazo yako, sasa huo c ushauri km kwel unahitaji ushauri, km hutak kushauriwa we fwata mawazo yako then utakuja omba tena ushauri baada ya kutendwa.
  19. C

    Mnisaidie jamani tafadhali

    pete kaka na iwe inamaanisha kweli co kumvisha pete afu unakuja timuka
Back
Top Bottom