Search results

  1. D

    Doyo: kwanini sijajiunga na CHADEMA.

    Niko Handeni, Tanga na ADC wana mkutano wao hapa. Doyo anasema baada ya kuondoka cuf hakujiunga na cdm au nccr kwasababu vyama vyote hivyo vina tabia zinazofanana na cuf. Anasema cuf iliwatimua wao, nccr ikawatimua akina Kafulila na Cdm ikawatimua madiwani 5 Arusha. Anasema kwa tabia yake...
  2. D

    Zitto Kabwe ashindwa kutokea mkutanoni

    Wakuu leo Mh Zito Kabwe ilikuwa ahutubie mkutano wa hadhara hapa wilayani Handeni. Lakini mamia ya wananchi waliojitokeza wamejikuta wakisubiri kwa muda mrefu bila mafanikio na hata viongozi wa CHADEMA wilayani hapa wameshindwa kuhutubia mkutano huo na kuwafanya wananchi kujiondokea bila kujua...
Back
Top Bottom