Search results

  1. Wambandwa

    Entrepreneurship Subject.

    Pause: Entrepreneurship should be taught as a subject in all schools across Africa. By far the biggest employer of people in Africa is what is generally called the "informal sector." I personally don't like this title "informal," preferring something like the "entrepreneurial" sector, but the...
  2. Wambandwa

    Dr. Harrison Mwakyembe's Double Standards, alitaka Serikali tatu!

    Huyu daktari wa sheria kumbe alipata Phd yake kutokana na andiko lake la KUTAKA SERIKALI TATU. Kinyume na kuandika alichofanyia utafiti na kukiamini, anaishi maisha ya kuhakikisha muundo wa serikali tatu usiwepo analinda kwa gharama yoyote ile mfumo wa serikali mbili. Dk. Harrison Mwakyembe...
  3. Wambandwa

    Kuweka Usalama Mkoa Wa Pwani

    Ningekuwa naweza kukutana na mheshimiwa rais, ningemshauri na kumwomba amteue kijana mashuhuri, maarufu, kada machachari wa CCM na mchapa kazi kuliko kijana yeyote wa kizazi hiki ili awe mkuu wa mkoa wa Pwani ambako kumekuwa na mfululizo wa mauaji ya askari wetu. Huyu kijana si mwingine zaidi...
  4. Wambandwa

    Bangi Niburudishe, Siyo Unibangue!

    Wakinga, Wakurya, Wasukuma, Wameru, Wanyaturu, Wakara, Wanyambo, Wahangaza na Wahaya wachache sana watanielewa. Tusiwe waoga ili isijekututia ukichaa najua wanachama ni wengi. Kumbuka viroba vilipigwa marufuku, nafikiri na watu wenye kuwa na mtizamo kama wangu.
  5. Wambandwa

    Ukiwekwa Chini ya Ulinzi Yajue Yafuatayo

    IMEANDALIWA NA MAWAKILI. 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka...
  6. Wambandwa

    Fax Services From TTCL

    Za jioni wadau, Leo nimepatwa na mshtuko na mshangao nilipokwenda TTCL kutuma fax kwenda Antwerp. Niliambiwa hakuna huduma hiyo kwa sababu mitambo mibovu. Tunajinasibu kwenda mwendo kasi, na sasa hivi kwa sababu ya computer hackers huwezi kufanya biashara kwa email pekee, sana sana kama hii...
  7. Wambandwa

    Wakati sisi hakuna kufanya siasa by 2020...

    Wakati sisi tunakatazwa kufanya 'politics' angalia wenzetu wanachoplan by 2020: A new sugar factory to be built in Rwanda
  8. Wambandwa

    Tanzanians Who Are Untouchabales

    I always keep wondering why the following tanzanians can't be prosecuted even where there's evidence of their misdeed? 1. Andy C 2. Y. Manji 3. R. Aziz 4. Rugema wa escrow 5. Ben You could add the names on that list
  9. Wambandwa

    Hapa Kazi Tu..

    Hii picha nimeiona facebook. Kweli hapa kazi tu!
  10. Wambandwa

    Msaada kwa wataalam wa kodi kuhusu Wthholding Tax

    Waungwana wana JF, nawapa salaam, Ama baada ya salaam, naombeni busara kutoka kwa wabobezi wa maswala ya kodi (kama nilivyoonyesha kwenye kichwa cha habari hapo juu). Naishi kwenye nyumba ya kupanga na nimekaa kwenye nyumba hii tangu 2008. Mwenye nyumba amekuwa na tabia ya kupandisha kodi...
  11. Wambandwa

    The Last Wish

    The last wish A death row inmate awaiting execution, asked as a last wish a pencil and paper. After writing for several minutes, the convict called the prison guard and asked that this letter be handed over to his biological mother. The letter said ... Mother, if there were more justice...
  12. Wambandwa

    Washauri wa rais, mfikishieni Rais ujumbe huu

    Wanajamvi watukuka, Nina imani kuu kwamba wasaidizi wa rais wetu kipenzi wamo humu, Naomba wamfikishie ujumbe huu nilioupata mtandaoni na aufanyie kazi. Wasalaam
  13. Wambandwa

    "Miracle Shake" Traets Root Cause of Erectile Dysfunction

    http://theedmiracle.org/Video/
  14. Wambandwa

    BVR Zanaswa dar zikiendelea na kazi ya uandikishaji

    BVR Zanaswa dar zikiendelea na kazi ya uandikishaji katika kiwanda kimoja huko jijini dar es salaam source; magic fm je hii ni dalili gani? Source: facebook
  15. Wambandwa

    Wizi: Tigo wanaiba internet bundle!

    Ukinunua internet bundle kutoka Tigo pesa kwenda kwenye Tigo moderm ujue utakuwa! Hupati huduma kwa masaa 24 ukinunua package kwa siku Ni baada ya saa moja na nusu utaambiwa umenakiwa na Mb 5 na kuanzia hapo net inakata! Mbaya zaidi ukiwapigia customer service hawapokei simu yako zaidi ya ule...
  16. Wambandwa

    Cyber Crime Law! A crime against freedom of expression!

    Kuanzia kesho, haki yangu ya msingi ya kujieleza hisia zangu na kuhabarisha wengine inafungwa minyororo. Nasikia hata ukigundua wizi kama ule wa Epa na Escrow ukiumwaga hapa ni kosa la jinai. Nia na makusudi CCM waendelee kuiba na ukitoa riporti ni kifungo. Walaaniwe wooote waliopeleka...
  17. Wambandwa

    Angalizo: Kikwete baada ya 25 Oktoba 2015

    Nina imani kabisa na maneno ya UKAWA kwamba wataunda kamati ya maridhiani ikiwa watapewa ridhaa ya kuongoza nchi ili kufanya reconciliation ya yaliyopita na kusameheana ili tujenge taifa letu. Magufuli atajenga magereza mengi na kutengeneza korti maalumu za mafisadi!! Angalizo langu kwa...
  18. Wambandwa

    Rushwa kwa Traffic Police

    Madereva WA daladala njia ya Mbagala wanalaani rushwa inayodaiwa na polisi WA usalama barabarani. Wanasema Kuna askari anaitwa Obama anawataka watoe rushwa ya zaidi ya laki kwa kosa la kuandikiwa notification ya 30,000/-! Tafadhali jirekebisheni, lakini kumbukeni dawa yenu iko jikoni.
  19. Wambandwa

    TANESCO: Taarifa ya kukatika umeme kwa baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam

    Ni kadhia tupu, Dar mji mzima hakuna umeme, kila kona ni kelele za jenereta. Hivi kwa kukosekana umeme wa uhakika wakati huu ambapo serikali yetu inajivunia kufanya makubwa tujiulize yafuatayo: 1). Ni athari gani kiuchumi ambazo mtu wa kawaida kama mimi nifanyaye biashara bila mtaji ninapata...
  20. Wambandwa

    Huu ndio mwanzo wa kifo cha CCM kilichobashiriwa?

    NILIKUSUDIA kuendeleza mjadala kuhusu madai kwamba Edward Lowassa hakutendewa haki katika michakato ya CCM mjini Dodoma, lakini taarifa mpya za masuala ya kisiasa zimenilazimisha nibadilishe kidogo mwelekeo wa makala ya wiki hii ili niweze kuendana na hali ilivyobadilika. Hatua ya Edward...
Back
Top Bottom