Search results

  1. B

    Natafuta kazi-Mineral Processing Engineer

    Jamani wana JF natafuta kazi kwenye kampuni yoyote ila sihitaji mgodini. Nimemaliza UDSM 2007 nina experience ya miaka mitatu.
  2. B

    Hat ya ajira

    Inaonekana ukweli upo kwani kuna nafasi kibao watu wamepigishwa interview lakini hadi sasa watu hawaitwi kazini mfano UDOM,VETA etc.
  3. B

    Udom calls

    Mbona UDOM hawaiti kwa nafasi zilizobakia au tetesi la kuwa fungu hamna nikweli?
  4. B

    Udom

    Hakuna anayetegemea ila humu tunajuzana mambo yanavyoendelea. Ni muhimu kujua mambo yanavyokwenda ili utoe matumaini. Wanafuatilia humu ujue walipiga oral.
  5. B

    Udom calls

    Eti kuna nyepesinyepesi kuwa udom hawana fungu lakuajiri watumishi wapya kwasasa.
  6. B

    Udom

    Tuwe tunapeana taarifa, mimi nilifanya interview ya nafasi ya Laboratory Engineer.
  7. B

    Udom

    Nashukuru kwa taarifa wakuu. Ngoja niwe karibu na simu yangu.
  8. B

    Udom

    Yakweli hayo au ndio unaleta utani wenu?
  9. B

    Udom

    Wana jf mwenye data atujuze kuhusu waliofanya oral interview wameshaitwa kazini?
  10. B

    UDOM kulikoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Tuache jokes, naomba mwenye taarifa sahihi atujuze. Wapo watu wanasubiria kwa hamu kubwa sana kwani walifanya oral hasa mdogo wangu alifanya kwa nafasi ya udereva na alifanya toka mwezi wa kumi na mbili.
Back
Top Bottom