Natafuta kazi-Mineral Processing Engineer

balongo

Member
Feb 15, 2012
10
0
Jamani wana JF natafuta kazi kwenye kampuni yoyote ila sihitaji mgodini. Nimemaliza UDSM 2007 nina experience ya miaka mitatu.
 
Sasa kama hutaki kwenda migodin,hayo madin utayapatia wapi mkuu?acha utozi,mcoet gani wewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom