Tuliuza nyumba ya marehenu babu pale kariakoo karibu na faya wajukuu mgao 50ml nakumbuka terminal one lile jengo jekundu na mabenchi tuu.
Nshawai kwenda zenji me na rubani tuu ile company ya costar kama skosei 2000 hiyo
Viduka vya pamba town vilikua vinanijua maaana nikiwa dukani jua wauzaji...
Me binafsi nimefanya kazi pale miaka ya 2014 - 2016 sina uhakika kuhusu tabia ila me najua tabia inaanzia nyumbani na kuhusu ubaguzi hakuna ila unaenda kumtesa tuu mwanao
Kuna kiisrael kimoja bana wanakaita pilip8li kale katoto roho mungu akape maisha maana ni katundu ka taufa
Ukizubaa...
Ipo hivi wakuu kwanza kabisa hakuna kitu cha miaka miwili mtu akasimama kimaisha pia msisahau yule aki3enda south aki4udi anatukuta sii na yeye hatuchekani
Pili nilichojionea mimi south vijana wengi wa tz waliopo huku ni wale waliokataa shule kuoinda vibaka au watu waliotoka kw3nye familia duni...
Ulizani huku kwa bi mdash nini baharia apa ni kwa mkaburu kama huwezi kuzingatia basi nenda beach kadandie chuma uende maulaya bunda moja baharia
Cha pili punguza kujichanganya maskani za masela fanya yako baba au na kaburu unaona noma kufungua ndau mzesßß
Habari
Mimi ni kijana wa miaka 30 elimu kidato cha nnebsikuitaji kuriseat ili niendelee na elimu ya juu nikaenda veta nikasimea taaluma ndogo ndogo kama tatu zinazoendana kwenye soko la ajira hivyo nimejiajiri napata kiasi cha mboga uongo siku zinakwenda.
Kwanza mimi natokea familia ya jawaida...
nabii wa kweli hatabiri kitu na mwaka huu mungu yupo tanzania hivyo kipindi hiki manabii wa uongo watapotea kabisa kwani wao ni watumishi wa baba wa uongo...
mimi nitaamka alfajiri kabla ya kwenda kanisani nitaenda kupanga foreni na nitamchagua Edward Ngoyae LOWASSa alafu ndio naenda kusali na kumuombe atangazwe mapema ili tuu ni kuonesha hatuchagui vingamazi tunataka viongozi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.