Huyu mama Blind Nyombi, kama alivyomhamisha Mpandana kwenda Muhimbili na nafasi yake kumpa ndugu yake. Ni mama aliyejaa ubinafsi, undugu, ukabila na kuonea wale amabo hawapo karibu nae, au ambao sii ndugu zake.
Mfano wa Kamanda mkubwa wa malaria, DR. MWITA aliyekuwa Meneja wa Mpango wa MALARIA...
Yule mama blind ana washikaji wake kawapanda katika idara nyeti, na ndio anakula nao mapesa ya kazi za afya.
Pelelezeni TISS, na hata TFDA aliyekuwa mkuu TFDA alipoingia tu Nyonyoa,walipishana naye yule mama akaamua kuondoka.Baada ya mama kuondoka kamuweka mtu wake wa damu.
Huyu mama Nyoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.