Search results

  1. F

    Yaliyojiri Mkutano wa Edward Lowassa na wanawake wa DSM kutoka Ukumbi wa Millenium Tower

    Ni hatua njema sana kwa mustakabali wa Tanzania, naiona Tanzania yenye watu wastaarabu na wenye kuheshimiana, hongereni sana,
  2. F

    UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Tunaamini viongozi watajadiliana na tume na kutoa taarifa ni wapi na saa ngapi mkutano utafanyika, tuwe na subira hiki ni kipindi kigumu sana, Mungu atusaidie,
  3. F

    Elections 2015 Siku tano za kampeni: Chokochoko za CCM, serikali yake na vyombo vya ulinzi

    Tuliombee Taifa linapita kwenye kipindi kigumu, ni hatari sana kuamua jambo litakalo egemea upande wowote wakati huu,
  4. F

    Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    Ni watu wanao tafuta umaarufu, lakini nampa tahadhari kubwa awaache wanasiasa watupe sera zao, na si kumuandama mtu kana kwamba anao ushahidi, awasilishe pingamizi mahakamani na si kumkashifu mtu, tunajua anaumiwa kuchafua, lakini amekisha chelewa, Edo amefuata njia sahihi kutojibu wanaomtukana...
  5. F

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Hatuna utamaduni wa kushabikia ugonjwa wa wenzetu, Hoja ya mmoja ya mgombea kuwa dhaifu kiafya imepitwa na wakati, tujadili uwezo wake kama kiongozi, mengine ni makando kando, tumesha vuka huko.
  6. F

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Hatuna utamaduni wa kushabikia ugonjwa wa wenzetu, Hoja ya moja ya mgombea kuwa dhaifu kiafya imepitwa na wakati, tujadili uwezo wake kama kiongozi, mengine ni makando kando, tumesha vuka huko.
  7. F

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Siungi mkono ndugu kupanda daladala wakati huu, ninachokubaliana na Edo ni namna anavyoweza kubeba uthubutu wa kweli bila kuangalia matokeo hasi, wanao angalia kibanzi kwenye jicho lake, hawajaona boriti kwao, miaka yote wamemshutumu kuwa mwizi, hata alipotoka kwenye mfumo bado wizi umezidi, na...
  8. F

    Fomu za Edward Lowassa zilitimia?

    Kuna wagombea kila wanachofanya ni habari:mod:, hii inadhihirisha kwamba mgombea husika anawapa hofu washindani wake?
  9. F

    Clouds FM, hiki mnachofanya ni kampeni kwa CCM

    Wajulishwe tangazo zuri, tatizo haliko fair,
  10. F

    Ukomavu mkubwa wa kisiasa CHADEMA

    Kura si kigezo pekee cha uhalali wa kuongoza watu zaidi ya million 40, ndio maana wako wasiopiga kura na bado katiba inawapa haki na wajibu wa kuheshimu mamlaka ya Urais, ukiacha kura mgombea ajipime kwa namna anavyoungwa mkono na anaowaongoza. Unaweza kuanza kutoa tathmini ni mgombea gani...
  11. F

    CHADEMA njaa kali, kuanzia leo siwaamini tena, wapo kimaslahi zaidi

    Hahah embu wape, historia ya imani yako kwao:mod:
  12. F

    Picha : Mapokezi ya Lowassa Mbeya

    Duh huu mwaka, balaa, watapiga kura hao au kama kawaida mbwembwe nyingi:wink2:
  13. F

    Mzee Mbarouk Mshimba wa Chadema amkana Hadharani Mwanawe Uzini

    Nani kakwambia anayechaguliwa ni baba yake, inawezekana huyo mzee amerukwa na akili, au ni baba ya kufikia, tuhitaji kumuuliza mama yake iwapo yeye ni baba halisi au kaletewa, kama utafiti wa hivi karibuni juu ya ugumba, nafikiri DNA ni suluhisho, hivi akishinda?, zile posho zilizopanda kule...
  14. F

    Ufisadi wa Blandina Nyoni huu hapa!

    Jiulize wako wangapi kama yeye kwenye system, ndio maana unaambiwa hili gari linahitaji overhaul, wameoza jamani, kwa taarifa yako hayo uliyoorodhesha ni madogo tu, ndio maana hata chenge aliwahi kusema hivi nilivyonavyo ni vijisenti, halafu mkuu umesahau namba 22. Ununuzi wa mapazia kwenye...
  15. F

    Tumsaidie huyu dungu yetu

    nafikiri ana mapepo, achague Lusekelo au Mwingira, naweza kumuombea, tunaweza kuwasiliana kupitia JF.
  16. F

    Hii ndo mistari ya bongo fleva iliyoandikwa na mwanafunzi wakati akifanya mitihani ya kidato cha 4

    kama mwalimu wake anavaa suruali kati kati ya makalio, unategemea nini.
  17. F

    UPDATES: Kikao Cha Waziri Mkuu na Madaktari CPL (Central Pathology Laboratory)

    Unampongeza kwa kuwa hajafa ndugu yako?, sio kila kitu kinafaa kupongeza.
  18. F

    UPDATES: Kikao Cha Waziri Mkuu na Madaktari CPL (Central Pathology Laboratory)

    Nashauri apewe koti, maana aliahidi kuwafukuza wote, naamini maigizo anayofanya juu ya roho za watu yana majibu yake hapa duniani.
  19. F

    Sikiliza kikao cha Mbowe na Watanzania huko Marekani

    Inaonyesha unaamini Chadema kimeshashika dola, bado kiongozi mpaka 2015
Back
Top Bottom