Search results

  1. B

    Biashara ya kuuza simu na vifaa vyake

    Habari wana JF. Poleni na Majukumu. Naombeni msaada wenu. Naitaji kufungua biashara ya kuuza vifaa vya simu na simu, nina mtaji wa Millioni 2, naombeni mnifahamishe namna ya kuianza biashara hii ili ije kukuwa zaid hapo mbeleni. Pia nianza na nini,nifate nini. Pia kama kuna mtu anafahamu...
  2. B

    Biashara ya kuuza jeans za kike

    Habari wana JamiiForums, Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la kuuza jeans tu. Sasa naombeni ushauri ndugu zangu kwa mambo yafuatayo: 1. Mtaji wa hii biashara...
  3. B

    Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike

    Habari wanajamii forums... Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la kuuza jeans tu..Sasa naombeni ushauri ndugu zangu kwa mambo yafuatayo. 1. Mtaji wa hii biashara...
  4. B

    Nimepoteza kadi ya NHIF nifanyaje?

    Habari zenu wana- Jamii Forums. Poleni na majukumu ya kila siku. Naombeni msaada, nimepoteza kadi ya bima ya afya NHIF. Kwa anaejua taratibu zipoje za kupata kadi mpya, je kuna malipo yoyote yanaitajika (gharama shng ngapi)? Pia, ofisi za NHIF kwa mkoa wa Dar es Salaam ziko wapi au wakala wa...
  5. B

    Mpenzi wangu anaumwa na tumbo

    Habari zenu wanajamii forums Naombeni msaada wa mawazo,,mpenzi wangu anaumwa na tumbo kama kati kati ya kitovu na anapopitisha chakula chochote katika mwili wake, anatapika na kuharisha.
  6. B

    Naomba kujua hatua za kufuata ili kuuza gesi ya majumbani

    Habari zenu wana jamii forums, Samahanini nina ombi la kutaka kufahamu uuzaji wa gesi za majumbani au kuwa wakala wa gesi mfano orxy taratibu zipoje? Nianzie wapi mpaka niweze kufanya pia inahitaji mtaji wa shilling ngap?[emoji120] Natanguliza shukran zangu
Back
Top Bottom