Search results

  1. K

    Naomba Mungu sana niache pombe

    Kuacha pombe ni rahisi sana. Kwa Mkiristo, nenda mbele ya msalaba omba kuacha pombe kwa kuweka nadhiri. Hakika hutokunywa tena. Mimi nakaribia kuziacha. Nilianza kuacha miezi 2 then miezi 6 sasa mwaka. Soon nitaziacha. Pombe zinaboa sana.
  2. K

    Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

    hiki ni chama cha NCCR B. waliofukuzwa wote na Mbatia ndo waanzilishi, shame on them!
  3. K

    Hotuba ya Mhe. John Pombe Magufuli bungeni leo... Bajeti 2012/13

    Wana JF mwenye hotuba ya huyu MAGUFULI tunaomba autupie humu wengine hatukuisikia. Asanteni
  4. K

    Flyover TAZARA Imetengewa Bajeti - Magufuli

    Wana JF naomba mwenye hiyo budget aitupie humu kwani wengine leo hatukuisikia. Asanteni
  5. K

    Chama kipya chasajiliwa Tanzania

    Hawa jamaa kiukweli ni watu wa ajabu sana tena sana. Mwanzilishi ni Kafulila + Rungwe pamoja na jamaa mmoja aliyeshindwa ubunge 2010 jimbo la Kakonko kupitia NCCR na kwa sasa kafukuzwa kwenye chama hicho. Wala msichanganye mh. Zitto na hiki chama ni hao niliowataja. Kama mnavojua Kafulila hawezi...
  6. K

    MJADALA WA ELIMU NA UDINI TANZANIA (Tafadhali isome yote, ingawa ni ndefu)

    Kiukweli, kama watanzania wote wangesoma hii makala, hakika wangefumbuka fikra zao ambazo kwa sasa zimejaa chuki juu ya wengine. Prof. yote uliyosema ni kweli. ukiangali sana maeneo yote ambayo mwarabu aliwahi kukaa mpaka leo hii hali zao ni duni na sijui kama watakuja badilika kama hawatokuwa...
  7. K

    Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

    kama anafikir kuwa wanaumewananuka ajaribu kunusa ninihi yake asikie huo mnuko. mimi ninachoamin hakuna mwanamke msafi, atakuwa msafi vip huku maji yake yananukaa? tunalinda uhusiano tu lakini hata wanaochafua shuka ni wanawake!
  8. K

    Mustakabali wa Tanzania - Mahojiano na Mh. Zitto Kabwe

    ama kweli chadema in hazina kubwa sana ya watu wenye vipaji na malengo chanya kwa nchi yetu. GOD BLESS YOU MH. ZITTO
  9. K

    matusi ya lusinde Arumeru kumvua ubunge?

    nasubiri tamko rasmi la viongozi wangu makini kuhusu huyu mporomosha matusi
  10. K

    Judge Warioba ateuliwa kuwa Mwenyekiti Tume ya Katiba

    hapa waislamu wataingiza sana udini wao kwani ni wengi mno. sijapenda.
  11. K

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    yaani ninapoona hizi picha napata faraja sana! all the best makamanda na kesho naanza kutafuta kadi haraka sana!
  12. K

    Mh. Livingstone Lusinde akimwaga Sera za CCM Arumeru

    ama kweli magamba wameisha, kuwa na wabunge kama wasila, lusinde, majimarefu (mganga wa kienyeji), jafa, mwigulu na lowasa ni ishara tosha kuwa chama kizima hakina mtu mwenye busara hata mmoja!
  13. K

    Wakati CCM wanafanya usanii, Zitto Kabwe aendelea kufungua matawi CDM - Mwanza.

    hakunaga kama zitto! huyu jamaa ni jembe kwelikweli!
  14. K

    Tukiwa na wabunge watano wa hivi nchi itakuwa hatarini eti!

    wala siwezi kumshangaa Lusinde ndivyo alivyo. Ashukuriwe sana kurahisha kifo cha magamba!
  15. K

    Kama mkapa, wasira na lusinde ndio wateule, je walioachwa wana hali gani?

    Anhaaa! ni yule jamaa mlopokaji? watu kama akina LUSINDE ndo wanaosaidia kuzika chama cha magamba. hajui kuwa siku hizi vijana wanaangalia watu makini sana kama TIMU NZIMA YA CHADEMA na si ulopokaji anaoufanya huyo jamaa.
Back
Top Bottom