Inaitwa katerero.......wenyeji wote wa huo mkoa wanaijua kasoro wewe tu mgeni. Wala usipate tabu opoa halafu mwambie akufundishe katerero yaani kipigio kama sijakosea
Wanalaani kauli ya CHADEMA Arusha juu ywa kuigawa nchi –Kanda ya ziwa na mikoa ya kaskazini.Lakini pia wanampongeza Rais Jk kwa kuunda upya baraza la mawaziri.
Wairaq ndio wambulu na asili yao ethiopia na baadae wakapita somalia ndio maana wna matamshi kama wasomali.ukimsikia mbulu anatamka kwa kiswahili mpira anasema impira.kama huamini mwambie sumaye au slaa atamke
Hebu weka paragraph.Hivi ulivyoandika inaumiza macho,
back to the topic: Takukuru mpaka waambiwe shughulika ndio wakurupuke,kuna namna nyingi za kufuatilia rushwa ama wizi.Ni kiasi cha kuwa karibu na CAG,wakati wanafanya ukaguzi wa hesabu mathalani wilaya ya Kinondoni na wao wanafuata nyayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.