Search results

  1. Jt jr

    Till za Tigo na airtel zinauzwa

    Kwa anayetaka till ya tigopesa na airtel money anipm nimpunguzie bei Tsh. 200k tigo kwa 100k airtel
  2. Jt jr

    Kutoka Mwanza to Dar kwa written interview ya watu 174

    Wanajamvi naona utumishi wametoa majina ya usaili kwa tar 26. Mmimi niko mwanza nahangaika na ujasiliamali wa kujipatia riziki ya kila siku. na mwezi huu nadaiwa kodi ya kibanda changu cha biashara. mwezi ujao natakiwa nilipie chumba changu cha kuishi jumla nadaiwa 600000 ndani ya hii miezi...
  3. Jt jr

    Wizi wa Salio mtandao wa Voda

    Habarini ndugu zangu, Jamani huu mtandao wa voda kulikoni?Juzi niliweka vocha ya 500 wakalamba 100, data zote ziko off. Sikuwapigia sababu nilikuwa bize. Sasa jana kuna mtu kanipa nimwekee vocha ya jero then nimuunganishe, ile kumuunga naambiwa huna salio la kutosha, kucheki wamekata 100...
  4. Jt jr

    Wachawi waanguka baada ya ndege zao kuishiwa mafuta huko Tanga!

    Hii Dunia ni hatari sasa hawa wachawi wote wakija kwako usiku si hatari. Mungu atusaidie
  5. Jt jr

    Ukweli hapa utajikuta unaenda toilet kila dakika

    Kuna kuelewa hapa kweli
  6. Jt jr

    Kuvaa shati la mikono mifupi kwenye interview

    Hivi unaweza vaa shati la mikono mifupi kwenye oral interview?. wenye uzoefu na oral mtuambie. nawasilisha.
  7. Jt jr

    Hivi haya ndo mapenzi ya dhati?

    Mimi cjui
  8. Jt jr

    Naombeni ushauri kwa huyu demu jamani!

    Jamani kuna msichana nilimtongoza nikiwa shule ya msingi lakini hatukufika mwafaka kwa kuwa tulivyomaliza shule kila mtu aliendelea na secondary na hatukuwa na mawasiliano kila mtu akawa na issue zake. Baadae alitafuta namba yangu ya cm nikiwa form5 nikawa naye kwa mda lakini baadae tuliachana...
Back
Top Bottom