Search results

  1. Masimbwe

    Kurudishwa kwenye Government Payroll

    Ndugu wanabodi, niliajiriwa mwaka 2010 Halmashauri fulani lakini sikwenda ,mwaka huu nikaomba ajira nikapata tatizo limetokea kwenye system inaonekana tayari nimeshaajiriwa. Wakuu naomba msaada wa mawazo yenu na yeyote aliye tayari kunisaidia.
  2. Masimbwe

    Wizara ya elimu

    Wakuu heshima mbele ,mimi ni mwalimu wa grade A naomba directioni jinsi ya kuingia serikalini au kama kuna mtu yeyote anaweza kunisaidia hapo wizarani ani pm,thank you in advance
Back
Top Bottom