Search results

  1. Finufingi

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    NMB......Nasubiria jibu....au hata jibu hadi mwezi mwingine tena ? Sent from my CPH1607 using JamiiForums mobile app
  2. Finufingi

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kindly....naomba kujua je inachukua muda gani ..KUTUMIWA ID password ya NMB wakala kutoka Makao makuu baada ya taratibu zote kukamilika katika Branch....maana ni karibu mwezi sasa hatujatumiwa !
  3. Finufingi

    Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    ....na Head master wetu alikuwa ni Mr Mganga...mwenyeji wa Tanga
  4. Finufingi

    Shule ya Sekondari Mtwango yaanza kuchukuliwa kiudhalimu

    .....Mtwango Middle School ilikuwa ya serikali....mie nimetokea hapo 1972 !
  5. Finufingi

    Natafuta kiua gugu

    ....hayo ni majina ya kibishara tu....weedal,round up,multi glyphosate........zote hizo ni GLYPHOSATE
  6. Finufingi

    Utajiri wa masharti ni mateso

    .....principle za uchumi....ubahili ni mwanzo wa utajiri...
  7. Finufingi

    Hadi sasa madiwani waliohama CHADEMA ni 60

    ....biashara nzuri...huyu wa juzi Iringa 120ml.....good harvest..!
  8. Finufingi

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    ...DC wajibu wake ni kusimamia sheria na sera ktk wilaya....mengine wanajichomeka
  9. Finufingi

    Mkuu wa Wilaya Vs Kamanda wa Polisi

    .....mimba,afisa gani anatamba aidha kwa vizibo bar au totoz, au anabadili mandinga kila kukicha....hapo sasa ma DC hawa kizazi kipya ni wivu na mapovu....
  10. Finufingi

    Kurusha ndege ya abiria 70 kwa abiria 9 tu ni hasara kubwa sana!

    2+1=3... lakini pia ni (2)(1) yaan 21 ...nauli ya 120..kwingine 240 utapanda ipi?
  11. Finufingi

    Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

    .....ni kweli ansyoyasema. Mie nilitozwa British pound 300 hapo NIT kwa ukaguzi wa navara
  12. Finufingi

    Baada ya TEMBO kutembelea UDOM,sasa SIMBA aonekana UDOM Leo

    ....na Mtwara leo thimba wameonekana....ila wamo ktk basi jekundu.....
  13. Finufingi

    Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    ...Mbegani pale wote hufunzwa pale....polisi wapeleke picha ile watapata taarifa zoooooote...au hapaingiliki?
  14. Finufingi

    SAKATA la Bombadier: Tundu Lissu ni mmoja wa samaki wadogo. Atutajie zile kubwa

    .....lipa deni....acha maneno... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Finufingi

    Ubabe wa Tanzania: Meli kubwa mbili zilizojengwa na watanzania zazinduliwa kwenye ziwa lenye mgogoro

    ....baniani mbaya...kiatu chake dawa.. Pongezi tele na sana kwa Rais wetu Mstaafu Mh Jakaya Mrisho Kikwete. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom