tatizo ni kuwa kutotii amri halali na mamlaka zilizopo ni tatizo sana mkuu,hawajakataliwa kufanya maandamano bali wametakiwa kuahirisha kwa madai ya kiusalama..sasa kama wanaanza kubishana na mamlaka tutapata breaking newz kesho na magazeti yatauza sana ya jumapili...tuko pamoja sana mkuu ila...
hana akili hyo domond na hajitambui...ndo tatizo la hawa jamaa wa iman ya domond wanadhan ukijenga msikiti ndo utaiona pepo huko ni kujidanganya mapemaaa,kwa hiyo yeye ndo atakuwa sheikh wa huo msikiti...jamani wenzetu wanamiliki misikiti....ahahahahah...domoooooooooooo
haya mr zero..na yeye ana hasira sana mana nasikia naye fom six alipiga kiduara a.k.a alizunguka round about a.k.a alipata zero huyo mwenye kiti wa chama....SAMAHANI LAKINI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.