Wakongo wanasema FIMBU NA FIMBU, Wacha iendelee kutembea yaani mpaka mfanikiwe kumnyamazisha Makonda kuna Upumbavu na ujinga utakuwa umeshatoka vichwani mwa wengi, Watumishi wa Tanzania ni Wazembe, wavivu, wezi, waraghai na machokoraa wa kutupwa hivyo mi nadhani hata angeanzisha ka utaratibu ka...
Kwa hiyo kama ni mama yangu akikosea asiambiwe ukweli?? Ama basi ni wanaume wangapi wanadhalilishwa na wanawake na hampigi hizi kelele???
Acheni ushamba wa hizo Haki haki,ndiyo maana leo watoto wenu wa kiume wanaolewa na mnabaki kulialia bila kujua mnayasababisha ninyi. Ninaye...
Ila katika hili ninyi ndiyo mmeborongaaaa, kuna harakati zingine unqzifanya mpaka yule unayemfanyia anakushangaa sana,kwa hiyo watu wasiambiwe ubaya wao kisa watavunjiwa haki zao?? Kwani kudhalilishwa anakuwa yeye wa kwanza?? Je! Kwa kutotimiza wajibu wake kazini amewavunjia haki zao watu...
Mlikuwa wapi kusimama dhidi ya hao waliofanya ubaya kwa wananchi?? Ama pesa zinazoliwa na hawa watumishi wa serikali si uvunjifu wa haki za kibinadamu?? Kuna mambo ya kuingia kwenye Human Rights breach na mengine ukiyaweka unaonekana zuzu. Hakuna alichodhalilishwa hapo huyo dada ila aliambiwa...
Hapa kwetu Tz huko nyuma walisema nchi ilijitenga sana na dunia hivyo wacha mama aigungue nchi,sasa leo mama antifungal nchi tena wanaanza kumlaumu eti ni mzurulaji😆😆😆ama kweli Huwezi mridhisha mwanadamu kamwe🤔🤔
Siyo kwa Ubaya,lakini hawa jirani zetu si huwa wanajinadi kuwa wana maisha mazuri na pesa nyingi?? Sasa mil 9 kwao kitu gani kshindwa kuuchukua mwili wa ndugu yao?? Ukizingatia huyo ndugu yao si mtu wa kawaida,maana yake kama pesa alikuwa nayo😆😆😆kumbe bana "mvua ikinyesha ndiyo utajua wapi panavuja"
Kubali kataa hii Demokrasia inayotangazwa na wamagharibi kama itaendekezwa kwa hizi nchi zetu basi tusahau maendeleo ya jumla kama nchi na Uhuru wa pamoja hautakuwepo pia😆
At least yeye anaweza kubadili katiba ili tu aitetee nchi na wananchi wake,kulikoni hawa wa kwetu wengi hubadili katiba ili wakale Bata ikulu na familia zao😆😆😆shame kabisa
Watoto kusoma ama kupata elimu nzuri ni wajibu wa mzazi lakini hakuwezi kunifanya nikose usingizi ni wapi wapate hiyo elimu. Kulingana na kipato chàngu wanangu watasoma mahala popote. Thanks
Ndugu haujawahi sikia vile yale mahubiri ya kutoa yanavyo hit sehem maalum,utajikuta ukiuza kila kitu ili ukatoe halafu wewe unaki pee huku ukiamini Mungu ataleta😆😆😆
Kwa mwenendo huo hakutakuwa na uhuru katika kura laa basi wawepo wakijitoa muhanga kutosikiliza maelekezo ya wakuu wao vinginevyo mshindi atakuwa ni mmoja tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.