Search results

  1. HRM

    Kwa kina dada tu

    acha ubahiri mwanaume! upanuliwe tu jamani aaah ona aibu! lol
  2. HRM

    Natafuta mchumba mwenye akili

    JF members, najua wengi wetu tupo single humu kama vipi tuwasiliane jamani..
  3. HRM

    Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    achana na mke wa mtu. Mimi sijaolewa na natafuta mchumba. facebook nipo tuonane huko
  4. HRM

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto angekuwa mchaga angeshinda kwa kura za hapa. Ila kiuhalisia, Zitto anaweza kupata kura nyingi za CCM na CHADEMA. Babu yetu, Slaa atapata za CHADEMA TU. Tatizo hapa uzee wake tu...
  5. HRM

    Sophia Simba ambwaga Anne Kilango uenyekiti UWT

    jamani namie viti maalumu mwaka 2015 kupitia CHADEMA! Msinisahau nipeni kura zenu..
  6. HRM

    Kwa kina dada tu

    they are not engaged ndugu yangu ni njaa zetu tu hizi. Wakaka nawafahamu mie, they are so bad guys...wakaka siwaonei huruma they cheat a lot watoto wadogo wanawa do wanawapa elfu kumi kweli? wakaka muone aibu jamani lol!
  7. HRM

    Kwa kina dada tu

    Jana nilikuwa cocobeach nikakuta akina dada wenzangu wamevua nguo nikidhani wanajiandaa kuogelea...baadae nikakuta wanaume wengine wanafunga zipu zao kwa mbele...nikasita kwenda...kurudi nyuma nikakuta condom 4 zilizotumika zikiwa na kiwango kikubwa cha ukame. hivi tunakwenda wapi sasa? wenzangu...
  8. HRM

    Wanaharakati wa haki za binadamu tupo wapi?

    Tulisikia vilio vyenu! Polisi auawa kinyama zanzibar mpaka leo hamjatoa tamko? Kweli mna double standard!!!
  9. HRM

    Zanzibar: Viongozi wa UAMSHO wahojiwa na Polisi, kupandishwa kizimbani Jumatatu...

    Muamsho kumbe ni tawi la Al Qaeda? wanaharakati bwana!
  10. HRM

    Kikwete: Foleni jijini Dar itakuwa historia

    kweli kuna kila dalili za kuwa historia ya foleni dar es salaam. Itabidi wanazuoni tutunge vitabu vya Historia ya Foleni Dar es Salaam...
  11. HRM

    Mbowe ni kibaraka wa CCM ndani ya CHADEMA?

    Huyu ni kamanda wa kupasua anga. Anaongoza taasisi ya M4C
  12. HRM

    Zitto: Ndio ninautaka urais

    tunamkubali huyu! tushikamane ndugu zangu
  13. HRM

    Gazeti Al-Nuur lifungiwe

    GAZETI hili bana!
Back
Top Bottom