Search results

  1. Simba Mkali

    Akili za Manara zimeishia hapa

    PRINCE JOKES SIJUI nani alimdanganya akaibuka na kumzodoa Rais wa TFF, Wallace Karia mara baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Najua ulimsikia Haji Sunday Manara alipozungumza na waandishi wa habari baada ya kufungiwa miaka miwili na faini ya Sh 20 milioni. Kama ulimsikia...
  2. Simba Mkali

    Tunatoa huduma ya Uchapishaji

    Wapi ninaweza kuchapisha kitabu?
  3. Simba Mkali

    Deal Done: Kiungo wa GorMahia Fransic Kahata asaini Simba SC

    Kahata! Kwangu bora Niyonzima kuliko huyu mtu.
  4. Simba Mkali

    Serikali yapiga Marufuku gari zote za abiria kusafirisha vifurushi na barua

    Hivi kila waziri anataka aonekane mbunifu wa kuiingizia pesa serikali au? Hapa kachemka kwelikweli. Kwanza alitakiwa ahakikishe Posta inakuwa vizuri.
  5. Simba Mkali

    Wakuu tuwe makini na wanawake wa humu

    Huu ungese unaumiza sana. Ingawaje sijawahi kulizwa lakini hapendezi kwa kweli.
  6. Simba Mkali

    NANI ANALO CONTAINER?

    0key
  7. Simba Mkali

    NANI ANALO CONTAINER?

    Ndugu zangu, nahitaji container refu kwa ajili ya kuhifadhia mifuko ya saruji. Please mwenye nalo au anayejua utaratibu wa kulipata anijuze hapa.
  8. Simba Mkali

    Ushauri: Nina hamu kufanya mapenzi kupitiliza

    HAPANA huu sasa ni uonevu. Kwani wao ndio wananinunulia vocha hata nikimiliki nne?
  9. Simba Mkali

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Sikupenda hili litokee kwa huyu dada lakini sasa nimeamini Mungu analipa hapahapa duniani. Huyu dada kuna kitu kibaya alinifanya wakati akitangaza kipindi cha filamu cha EATV. Nilimpigia simu na kumuomba anisaidie kuhusu filamu niliyoibiwa na msanii mmoja mkubwa, akanipuuza. Nilipofatilia...
  10. Simba Mkali

    Uhuru Park, Kenya: Raila Odinga aapa kama Rais wa Watu bila kuwepo kwa makamu wake Kalonzo

    Hivi baada ya kuapa Raila alikwenda kulala wapi, ikulu au nyumbani kwake?
  11. Simba Mkali

    Benki gani inalipa interest nzuri jamani

    . Asante milioni moja nilitoa kama mfanob tu! Naweza kuwa hata na milioni tano au 10.
  12. Simba Mkali

    Benki gani inalipa interest nzuri jamani

    Are sure? Mi naomba ufafanuzi mkuu sio suala la utani.
  13. Simba Mkali

    Benki gani inalipa interest nzuri jamani

    Naamini humu kuna kila aina ya watu wanaoweza kunielimisha kuhusu hili. Hivi ni benki gani hapa nchini ambayo inalipa interest nzuri katika ule mpango wa Fixed Account? Mfano ukiwa na milioni moja baada ya miezi sita unaweza kupata kiasi gani, au baada ya mwaka? Please naomba msaada wenu.
  14. Simba Mkali

    Je Tanzania kuna legend wa soka?

    Agustino Peter Magari "Peter Tino" ambaye mwaka 1980 alitupeleka Lagos kwa bao lake la ugenini kwa kuifunga Zambia. Kumbuka ni mara ya kwanza na mwisho mpaka leo Tz hajawahi kufuzu Afcon na Tino bado yuko hai na hakuna Tino mwingine aliyezaliwa kutufikisha hapo.
  15. Simba Mkali

    Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

    Dokta Remmy aliwahi kuimba wimbo huu miaka ya '80' nimesikia kuwa familia yake inataka kumfikisha Msaga Sumu mahakamani.
  16. Simba Mkali

    Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

    Nimeuliza tu dadaangu. Maana tangu zamani siye tulikuwa tunaulizana pale mwenzetu anapopata demu..." vipi mashine ipo vizuri au...?" sometime utasikia mtu anakwambia " Mashine mbovu si ameshashusha engine... (amezaaa?) . Ndio maana nikaleta mada hapa sina nia mbaya kwako wewe malyakishu na...
  17. Simba Mkali

    Msaga Sumu: Mwanaume mashine imeniletea mgogoro mkubwa kwenye ndoa yangu

    Nimejaribu kuipeleka hii jukwaa la wakubwa lakini naona nimeshindwa sijui kwa nini wakati mm ni member kule... okey siyo shida sana kwa sababu nadhani haitakuwa na maneno makali naomba niulize, Kuna wimbo unaimbwa sana siku hz unaitwa mwanaume mashine... mbona maneno yaliyokuwa yakisifika...
  18. Simba Mkali

    Wakongwe, Athumani Juma Chama na Zamoyoni Mogella ...

    Naomba kurekebisha kidogo mkuu... Chama hakumpasua kichwa Mogella. Ile ishu ilikuwa hivi... Mogella alianguka akiwa pale chini beki mwingine wa Yanga, Yussuf Ismael 'Bana' akiwa naviatu vyenye six-meno alitaka kumkanyaga usoni Chama akamsukuma Bana na vile viatu vikamchana Mogella kichwani. Ila...
Back
Top Bottom