Hayo nimawazo yako kaka siwezi kukuzuia kuandika kile unachokifikilia pengine uwezo wako wa kufikiria ndiyo umekomea hapo.mm sijafeli kama unavyofikiria.
mm ni mwanafunzi ktk chuo kimoja wapo kilicho chini ya wizara ya maliasili na utalii na 23 -dec-2013 matokeo yalitolewa bila kupitishwa na bodi ya chuo.
sababu iliyopelekea matokeo hayo kutopitishwa na bodi ni bodi iliyokuwepo kumaliza muda wake na waziri wa maliasili na utalii alikuwa hajateua...
Walimchagua Donald Max wakawa wanamwita jembe,sasa jembe limelima kwenye rami limeishiwa makali!
Kazi yake imebaki kunywa pombe na kutanua na walembo hili ni funzo kubwa kwa wanageita 2015 msifanye tena kosa hakuna jembe ndani ya ccm.
Bwana mushi kaambiwa sisi ma miner tumesha chizi kama mlikuwa hamtujui sasa mtatujua sababu mmetugusa pabaya.
Pia kaambiwa ampelekee salamu mkurugenzi mkuu wa SSRA maamuzi wanayoyafanya yeye na mume wake asiyalete kwenye fedha za watu.
Sijui kama Bwana mushi atakubali kurudi hapa GGM.
Jumamosi wafanyakazi watafanya wa mdodi wa dhahabu wa Geita tukishilikiana na wafanyakazi wenzetu kutoka Bulyanhulu na kakola tutafanya maandamano ya amani kupinga sheria ya marekebisho ktk mifuko ya hifadhi ya jamii.
Hii leo Bwana Mushi ambaye ni mkurugenzi wa utafiti na tathimini wa SSRA...
Jamani hapa geita gold mine hali ilikuwa tete na leo hii mkurugenzi wa UTAFITI NA TAMITHIMINI WA SSRA alikuja kutoa ufafanuzi.
Lakini amejikuta hoi baada ya kushindwa kujibu hoja za wafanyakazi ambazo zilionekana kuwa juu ya uwezo wake.
Wakati mwingine alikoshwa koshwa na chupa za maji baada ya...
For sure nichanganyikiwa kwanza ndio nina miaka 26 nilikuwa nategemea NSSF yangu inisaidie nirudi shule sasa ndoto zangu zote zimevulugika nafuu kuingia vitani kuliko kuvumilia manyanyaso haya.
Kwa hali ilivyo sijui hicho kikao cha kukusanya maoni ya utungwaji wa kanuni itakuwaje?
Wameshindwa kuwashilikisha wadau kwenye utungwaji wa sheria wanataka kutuvika kengele kwenye kanuni.
Kimsingi mimi binafsi sikubali hasa ukizitia ajila za wafanyakazi wa migodi hazilindwi kisheria.
Ikiwa...
Mbona mimi sielewi,kila kukicha zinapatikana habari mpya.
Tarehe 18 jully 2012 baada ya taharuki kuzidi kwa wafanyakazi baada ya mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF NA PPF kufanya semina hapa geita gold mine (GGM) na kukiri kuwa hili jambo lipo na litaanza kufanya kazi hivi karibuni
jambo...
Tatizo letu nikutokukubali ukweli mtu anaposema ukweli anakuwa adui.
Kimsingi Lissu kaongea vitu vya msingi na kajenga hoja zenye nguvu binafsi nilitegemea serikali ijikite kujibu hoja badala yake wanatoa vitisho.
Mimi mwenyewe ni mfanyakazi wa geita gold mine na jana HR alikuja kutoa feedback ya kilicho ongelewa na NSSF na PPF,ukweli hali ya hewa sio sawa jana pekee watu 8 wali resign na bado hali ni tete.
Ni bora tufanye maamuzi magumu kuliko kuacha fedha zetu ziliwe na serikali hii dhalimu.
Kama kunakosa ambalo wabunge watakosea ni kukubali hoja ya serikali ambayo itawataka watu wamashilika na makampuni binafsi kulipwa mafao yao ya Nssf/PPF baada ya kufikisha miaka 55.
Inakuwaje mtu anayefanya kazi ngumu kwenye makampuni ya migodi ya dhahabu pamoja na maslahi kidogo anayopata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.