Search results

  1. N

    Advice please

    Jamani huyu rafiki simuelewi au ni sawa, we use to comunicate most of the time she is single. Butt soon after nimemu itroduce my boyfriend kakata mawasiliano na mimi marazote yupo bize anawasiliana naye. asubuhi mchana jioni.and she use to tell me ur luck to get this man.and am already engaged...
  2. N

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Amaa kweli neno la Mungu li hai..NABII HAKUBALIKI KWAO..Je ni Mungu gani huyo unae mwamini asotenda miujizaa?Ila sikushangai sababu hata Yesu aliambiwa anatoa pepo kwa Nguvu za Belzebul.. Na kama huamini miujiza mbona unaamin vitabu vya dini?sababu vyote vinamiujiza..na hata huyo Mungu pia...
  3. N

    Speech ya JK kwenye msiba wa Mandela.....January vs Premi

    Watanzania tumezidi kutafuta makosa na kusahau kufanya yanayotupasa ndio maana hatuendelei japokua tuna kila kitu. Tangu tumkosoe huyu rais hatuchokiii...!are u sure ur paffect enough kiasi kwamba hukosei? Asingeongea yale angeongea nn? Mjukuu aliongea vinavyomuhusu na kikwete aliongea yote...
  4. N

    MCHUNGAJI GWAJIMA AITIKISA TANGA, MKUTANO WAKE WAVUNJA REKODI (Picha Ufufuo na Uzima Blog)

    Nabii hakubaliki kwao.. Piga kazi baba wanadamu hawana hiana.. Ukimtangaza Mungu visa ukitangaza uchawi visa..sasa mnataka nn???? Mtaenda tuu hata kwa mijeledi.. All da best man of God..!
  5. N

    Freemasons: Sir Andy Chande Live On Clouds TV!

    Dah mtangazaji kaboaaaaaaaaaaaa mpaka bhaaaasi!!.km vp angeandika maswali ya kuhoji,Chande kajinafasi mpaka raha coz no challenges.km vipi wamtupie Kibonde amdadavue.
  6. N

    Any news about tanapa?

    Hivi tanapa wanaita watu baada ya muda gani?au ndio mpaka tusahau ndio waanze kuita.?
Back
Top Bottom