Search results

  1. DEICHMANN

    Nawezaje kutengeneza sukari ya asili? Nikiondoa sukari ya viwandani na Asali?

    Habarini!! Naomba namna ya kutengeneza sukari ya asili.Ukiondoa ya viwandani na asali.
  2. DEICHMANN

    Natafuta App inaitwa dexcon tun 8

    Habarini Naomba mwenye link ya App inaitwa dexcon tun 8 nimeitafuta sijaipata bila mafanikio.
  3. DEICHMANN

    Natafuta mchumba wa kike wa tajiri (Bosslady)

    Natafuta mchumba kike awe tajiri. Sifa zangu; 1. Mimi ni black kidogo. 2. Elimu yangu certificate ya Tehama. 3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania. Sifa zake huyo msichana; 1. Awe tajiri Boss lady. 2. Umri...
  4. DEICHMANN

    Ni hatua gani za kuanzisha forum kama jamiiforums,nairaland au red it.

    Habari. Ni hatua gani za kufuata kuanzisha forums. Kama Jamiiforums Nairaland Au Red it.
  5. DEICHMANN

    Tecno pouvoir 3 air haipanishi mnara.

    Habarini msaada simu yangu ya tecno pouvoir 3 air haipandishi mnara/data. Msaada nifanyeje?
  6. DEICHMANN

    Mafaili ya ha tunnels yame expire, Nini njia mbadala?

    Habari, mafaili ya ha tunnel yamekwisha expire.Msaaada nifanyeje?
  7. DEICHMANN

    Ha tunnel inasumbua muda mwingi inahitaji ni add time

    Habarini. Ha tunnel plus imekua ikinisumbua muda mwingi inahitaji nitazame matangazo yao ndio niweze kutumia. Je kuna njia nyingine ya kuondoa kua add time kila Mara?
  8. DEICHMANN

    Msaada: Namna ya kutengeneza akaunti ya Droid VPN

    Naomba namna ya kutengeneza account hapa nashindwa. Inakuja kwenye I am robot nashindwa.
Back
Top Bottom