Search results

  1. M

    Mama mkwe mtata

    mzazi ana nafasi yake na fiance naye ana nafasi yake maana ni mwenzi wa maisha mtarajiwa asipoangalia hataweza kuwa na confidence
  2. M

    Haka kamchezo kanafurahisha kweli, ni mambo ya m-pesa, tigo pesa na wengineo.

    wewe mbona huo mchezo watoto wa mjini tunaujua ukitumiwa tu unaforward kwenye line yako nyingine hajafika chooni zamani iko kwenye line yako
  3. M

    Mama mkwe mtata

    boy friend tu sio mchumba sasa shida yake nini inawezekana ana mchumba ambaye anajulikana na mama yake akiona vipi yeye ajipendekeze kwa mama mkwe aone atapokelewa vipi
  4. M

    Tukumbushane

    najua vizazi vipya mmewatoa kapa
  5. M

    wanaume wanahusika zaid kujibu hili swali

    utajisikiaje na wewe unarudi mapema nyumbani hukuti chakula ingawa kipo stoo, kwenye handbag ipo picha ya mwanaume mwingine hataki mtoke wote,unamwona sio mwaminifu je hapo kisu kimeingia kwenye mfupaaa?
  6. M

    natamani mume wangu anywe pombe

    hata mbuyu ulianza kama mchicha we tamani akiwa chapombe tusikuone humu kutaka ushauri
  7. M

    Karibu ule kwa macho

    afadhali nilaye bamia kwa ugali sikwazi mtu
  8. M

    "Naamshwa saa 9 ya usiku kufanya tendo la ndoa"

    shost ndio kila siku na yeye tu hakuangalii mwenzie anabaka huyo bwanaa
  9. M

    Makinda na yebo

    yule mama ana nywele sana ila kwa ajili ya umri mvi zinasumbua
  10. M

    Baba aliyemkataa utotoni amemkubali ukubwani……!

    hapa uangalie alipokukataa athari alizopata mama yako halafu mshirikishe mama yako muwe lenu moja kama umesamehe pia umshirikishe maumivu ya kukataliwa yana athari zake kama umesamehe asikufanye ATM
  11. M

    Haya leo funguka na walugulu

    mluguru mmoja aliomba lift kwenye lori bahati mbaya kutokana na ufinyu wa nafasi ikabidi mke akae siti ya mbele mume apande nyuma ya lori kufika mwisho walivyoshuka akaenda kulalamika kwa rafiki yake kobelo akasema mwe yule dereva hana adabu kabisa tulisimamisha motoka mke wangu kamtia mbele mie...
  12. M

    Tatizo la kutapika safarini (Motion Sickness)- fahamu chanzo, tiba na kinga ya tatizo hili

    kabla ya kuanza safari kula phenegan utalala lakini ukija amka huwezi amini utakula kila kitu no kutapika no kichefuchefu mwenzio nlijaribu kwa rafiki yangu amenishukuru kwa tiba hiyo so na wewe jaribu ni serious
  13. M

    Tutachati baadae MPENZI wangu, niko na hili kubwa jinga...

    unajua huwezi kujua utaamua nini ni rahisi kusema siku nikifumania patakuwa hapatoshi lakini huwezi amini bumbuazi lake unaweza kubung,aa we ukose uamuzi maumivu makali kama hayo hayana fomula
  14. M

    sheria ikoje ukifumaniwa ?

    kufumaniwa na mume wa mtu? kwani mahakamani nangojea ya nini ni kubondwa kwa kwenda mbele
  15. M

    Mama na bintie...

    imenikumbusha familia moja huko njombe chup ilikuwa ni luxury inavaliwa mtu akienda mjini au hospital walikuwa na moja tu sasa siku moja mdogomtu alipanda lorry tingo akamwona akamwuliza we mbona hujavaa chup akajibu leo ni samu ya dada amekwenda usa matosani mujini
  16. M

    Nimfanyeje mtu huyu afunguke akili?

    zigo la mwizi halipokelewi mwache yamkute hajui akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki
  17. M

    Wanawake mtatuua kwa kibondo....kha!

    wacha woga jifunze kujiamini
  18. M

    Naomba wanawake wafunguke kwenye hili……………….!

    lakini mh mnatunyasanyasa jamani
  19. M

    Kama wewe utafanyaje....????

    kusoma hujui hata picha jamani?
Back
Top Bottom