Search results

  1. A

    CCM mwendo mdundo! CHADEMA yaanguka

    sisi tunacho jua ni kwamba ssm wamefwata matakwa na shurutisho kutoka CDM, pamoja na wao kuwa dereva ila direction zinatolewa na CDM na watashika adabu huu mwaka
  2. A

    Bado kidogo atakubali na kujiunga CHADEMA

    huyu bado kidogo ata kabidhiwa card ya chama,
  3. A

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    huwa anakubali kubeba mamizigo ya watu wengine hata na ile isiyo bebeka, ila kitaeleweka ifikapo 2015,
  4. A

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    hizi ni zilizo recodiwa tu badi hujajumlisha na zile invisible one
  5. A

    Gharama za kujiuzuru kwa Mawaziri!

    hela walizo iba zitatumika kugaramia mambo yote hayo,
  6. A

    JK, Mukama watua Dodoma, utata mtupu mawaziri 8

    wanakagua mashamba ya nyanya ya watu wengine wakati yakwao yamewashinda
  7. A

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    bado anakimbizana na upepo
  8. A

    CHADEMA yaandaa mapokezi ya kifalme kwa Millya

    huu ni mwanzo tu:smash:
  9. A

    CCM Mambo yazidi kuwa Magumu: Ni kuhusu rasimu ya katiba mpya

    hasira za posho zimehamishiwa kwenye katiba.
  10. A

    Bungeni kumewaka moto-mgomo wa madaktari

    jamani mwenye link ya mambo yanayo endelea bungeni anisaidie hapa
  11. A

    ule msemo wa baba riz kuwa anataka kukumbukwa wakaribia kutimia

    ni mekaa nikafikiri mambo magumu na mazito ya kusikitisha yanayo tokea Tanzania nikakumbuka msemo wa yule msanii wetu babariz kuwa anataka kufanya mambo ambayo lazima watu wamkumbuke pindi atakapo acha kujivinjari kwenye lile shamba la bibi, sasa nashindwa kuelewa kama ndio anatimiza ile ahadi...
  12. A

    oil will reach $150 per barrel! what wll happen to Tanzania who we r suffering right now

    TEHRAN, Iran — Iran’s official news agency reports that the head of the state oil company is claiming that the price of crude will go up to $150 per barrel.Head of the National Iranian Oil Company Ahmad Qalehban did not give a time frame for the prediction, nor any other details in the Sunday...
  13. A

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    pindi gari linapo isha mafuta na kushindwa kwenda huwa hatulilalamikii gari bali mwenye gari, na vile vile madoctor wamefika mahala wakashindwa kusonga mbele na wanahitaji government support kwakuwa ndiye mmiliki or boss wao,. sasa mnataka hawa madactari wafanyeje kama mmiliki anakula sosegi...
  14. A

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    pindi gari linapo isha mafuta na kushindwa kwenda huwa hatulilalamikii gari bali mwenye gari, na vile vile madoctor wamefika mahala wakashindwa kusonga mbele na wanahitaji government support kwakuwa ndiye mmiliki or boss wao,. sasa mnataka hawa madactari wafanyeje kama mmiliki anakula sosegi...
  15. A

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    pindi gari linapo isha mafuta na kushindwa kwenda huwa hatulilalamikii gari bali mwenye gari, na vile vide madoctor wamefika mahala wakashindwa kusonga mbele na wanahitaji government support kwakuwa ndiye mmiliki or boss wao,. sasa mnataka hawa madactari wafanyeje kama mmiliki anakula sosegi...
  16. A

    PM Confirm the New MPs Sitting Allowance

    kwa kazi gani hasa anayoifanya kwa siku moja hadi alipwe allowance ya 200,000, vs walimu wanao kula chaki kila siku hata 100 tu kwa siku ya kununulia maziwa hapewi? haki iko wapi sasa?
Back
Top Bottom