Search results

  1. S

    Mikoa masikini zaidi nchini Tanzania kwa mwaka 2017/2018

    Hv mwanza ni jiji Naomba sifa za mkoa kuwa jiji,nipo confused na Mwanza ipo kwenye BRN regions Kazi ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  2. S

    Rais Magufuli unamuua mama yangu

    Yaani unajiendeleza kwa kutumia cheti cha mtu,na anakibali cha kufanya hivyo,naomba kujua sheria za kipindi hicho zilikuwaje maana kichwa hapo kimekuwa hewa.
  3. S

    Natabiri kusitishwa kwa muda uamuzi wa Waziri Mkuu kuhamia Dodoma ifikapo mwezi September mwaka huu

    Hahahahahah daaaah umenifurahisha na wakuu wa wilaya.
  4. S

    Vyuo Vikuu sita vyazuiwa kudahili wanafunzi kwa mwaka 2016/2017

    Naomba kujua hivi suala la elimu ni la muungano?elimu ya msingi mpaka chuo kikuu
  5. S

    Mkuu wa Kaya, ni nani kiti chake cha Bar huwa kinalipiwa hata kama mwenyewe hayupo?

    Daaah jamani nimependa huo mjadala,kweli mkuu anatumia kauli tata.
  6. S

    Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    Yani ni clip bomba sana,huo ndo ubunifu,Ushauri ni kwamba translate iwe kwa kiswahili kule kijijini kwangu hawataelewa watafaid picha tu.
  7. S

    RPC Dodoma: Asiyekuwa na Kazi maalum wiki hii Dodoma, asikanyage

    Freedom of movement,hao RC wanajua hilo.
  8. S

    Zanzibar tunaitaka nafasi ya Waziri Mkuu 2015 tumechoka kuonewa

    Waziri mkuu ndiye Rais wa Tanganyika Full stop.
  9. S

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Maeneo ya mabibo jeshini hawajafika ila maduka,vibanda na baa zote zimefungwa na watu wamekaa vikundi vikundi nimeshuhudia wamebeba silaha mapanga nk wanawasubiri kwa hamu.
  10. S

    Rungwe boys poleni kwa kutokwa na kipenzi chenu R.I.P Mwl MTAFYA........................ ...........

    Rest in peace the late Mtafya Ntafya A.Tafadhali tujuzeni chanzo cha kifo chake nini?
  11. S

    Simple majority?

    Mkuu hiyo iweke vema isomeke 2/3 hapo itakuwa poa najua umekuwa na haraka bt well done
  12. S

    Standing Orders For the Public Service, 2009!

    Wakuu mbona hiyo standing orders for public servant siipati?wameshaitoa nini wakuu bac mwenye nayo atuwekee hapa .
  13. S

    msaada jinsi ya kuuza muswada wa kitabu (script)

    Wasiliana na Children Book Project for Tanzania ofisi zao zipo Africana sinza
Back
Top Bottom