Search results

  1. Michael Mlay

    Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK, Canada, dubai au china

    Habari za wakati huu Wana jf Niende mojakwamoja kwenye point, Mimi nipo mkoa x nataka kufanya biashara ya form six and round t- shirts za mtumba grade 1 ,mtaji wangu nilionao ni 400,000.Naombeni mnijuze chimbo zuri la kupata mabalo ya t shirt za UK,Canada ,dubai au china. Pia naombeni ushauri...
  2. Michael Mlay

    Mungu hakumaliza uumbaji

    Habari zenu wana JF, Tusipoteze muda twende kwenye point, ukiangalia duniani sasa hivi kuna vitu vingi sana vya ajabu. Mfano kuna meli ambazo zina uwezo wa kubeba matani ya mizigo pasipo kuzama majini,kuna ndege ambazo ni kubwa sana zinapaa pasina shida yoyote, kuna simu ambazo unaweza...
  3. Michael Mlay

    Boom langu nimeamua kununua mzigo na kuweka ndani nikimaliza chuo nifungue duka langu

    Habari zenu wanajamii Forums Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x. Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi. Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu. Naombeni...
  4. Michael Mlay

    Kuna saloni mpya anatafutwa kinyozi

    Habari za sahizi Naishi Dodoma Chang'ombe, kaka angu kafungua salon anatafuta KINYOZI kama yupo mwenye ujuzi huo anicheki
  5. Michael Mlay

    Naomba ushauri juu ya biashara ya mabegi

    Habari za sahizi wana jamii forum Nilikuwa nataka kufanya biashara ya mabegi ya mkono mmoja ya wanaume, mwenye uzoefu nawaomba mnishauri kuhusu hii biashara, napatikana Dodoma.
Back
Top Bottom