Search results

  1. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    U're very close to what i need to hear,nimegundua watu wanashabikia vitu wasivyojua hata undani wake,elimu zetu zitusaidie basi kubaini hili.
  2. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    Kumbe ktk dunia hii bado kuna watu mnaishi kwa kukariri,kuna watu wanaitwa Matatizo na wana mkwanja mbaya,mtu anaitwa Juma na ni mkristo. Jina sio sababu as a matter of fact do u really think that is my really identity,U're really an IDIOT.
  3. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    Kama JF iko mwezin nadhani ntakua huko,wewe je uko sawa kweli kichwani?
  4. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    The function of education is to teach one to think intensively and to think critically. Intelligence plus character - that is the goal of true education. My friend which school did go? A fool doesn't admit his foolishness,but If He does then He is Intelligent,I am way more intellignt than u...
  5. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    What i need here is proven FACTS sio propaganda,sitaki mtu aniingize mkenge hapa.Sijauliza kuhusu posho za wabunge wala nauli za vivuko jamani hivi nyinyi hamnazo au?
  6. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    Sawa kama ni maslah ila bado hamjanipa data nazotaka,nachotaka kujua ni kwa nini maslah,wanalipwa kiasi gani sasa na wanataka kiasi gani kiongezwe na kwa vigezo vipi?
  7. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    Nahisi umelala wewe na hujasoma vizuri swali ndugu, hizi si zama za mipasho na misemo ya wahenga kama huna cha kusema u better keep ur stinking mouth SHUT
  8. I

    Madai Ya Madaktari ni NINI?

    Ndugu kwa unyenyekevu naomba mwenye data anipe kwa faida ya wasiojua ukweli kuhusu Madaktari waliogoma wanataka nini hasa mpaka serikali imeshindwa kutekeleza madai yao,KUNA JAMBO KUMBWA HAPA SI BURE. Wagonjwa wanaendelea kupoteza maisha siku hadi siku hawa jamaa na serikali yao hawaelewani,ni...
Back
Top Bottom